Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Martyr 360

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
434
655
Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote.

Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja, mnasoma pamoja n.k.mtu kakutongoza afu unamkataa kama Pepo au unamjibu vibaya, mwanaume unakuta Hanashida kashapotezea lakin unakuta mwanamke Hana Amani kabisa anaishi kama kunakaugomvi flani .

Mimi siamini kwamba eti kumtaa mtu vibaya kunaonyesha msisitizo ya kwamba hutaki,ziko njia nyingi za kumuonyesha mwanaume msisitizo kwamba humuitaji lakin siyo majibu mabaya.

Na hatakama unamzarau mwanaume kiasi gani au humpendi kiasi gani au unaona Hana adhi yakuwa na wewe. Umetongozwa hutaki usitumie kama njia ya kumuonesha jinsi gani unavyomzarau kataa Kwa hekima, mwanaume ni mtu Haya ni maisha huwezijua kesho. kunawatu Wana visasi unaezamchukulia simple ukatoka na mauti.

Labda niwaambie wanawake kumkataa mwanaume bila kugombana naye na ukaendelea kushirikiana naye, utaonyesha upekee wa ali ya juu, utaonyesha ni mwanamke jasiri usiyeyumbishwa. Mwanaume anaeshimu Sana maamuzi unayochukua unapotongozwa, mambo ya kugombana na mtu wakati ni Jambo linaloepukika ni upumbavu.

Wanawake wekeni akilini kuwa kumkataa mtu Haina maana ya kwamba ni mbaya au siyo handsome
Hapana, ni kwamba hamwendani Tu na ndo maana wewe ukimkataa utakuta kesho Yuko na mwingine saa nyingine mzuri kuliko wewe, kinachomaanisha kwamba mlikuwa hamwendani.
 
Umemwambia Tu mtu mtoke out pamoja kakulipukia kama bomu sidhani kama utoaji unamaana yeyote apo
Hujui timing, huwezi kumwalika mtu mtoke out bila kujihakikishia kuwa ana utayari.
Jenga mazingira na uhakikishe tayari yupo relini mwako...kazi yako wewe ni kumalizia kitu kidogo sana.

Huwezi kukata mti shoka mbili tatu halafu unaanza kuusukuma eti udondoke...
Piga shoka za kutosha, kuna shoka ya mwisho hii hutumika kuuelekeza mti pa kuangukia...
ERoni
Extrovert
Mshana Jr
Hawa ma lejenti watakusaidia😂😂😂
 
Back
Top Bottom