afrika

  1. JamiiForums Tanzania Dhahabu ya Afrika na Utajiri wa Mansa Musa na Biashara ya Dhahabu katika Karne ya 14 na 15

    HISTORIA Mansa Musa, ambaye alikuwa mtawala maarufu wa Dola ya Mali kati ya karne ya 14 na ya 15, alikuwa mwenye utajiri mwingi sana na anajulikana kwa utajiri wake mkubwa wa dhahabu. Utajiri wake mkubwa ulitokana na utawala wa eneo lenye rasilimali nyingi na biashara ya dhahabu.Eneo la Dola ya...
  2. JamiiForums Tanzania Endeleeni tu Kujidanganya na Jeshi lenu kuwa ndiyo Bora wakati wenye Majeshi bora, imara na hatari Afrika wala hawajisifu ila Wanakubalika na Kazi yao

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  3. JamiiForums Tanzania Makala ya BBC: Uchambuzi wa Miaka 30 ya uhuru wa watu wa Afrika Kusini na jinsi wanavyohisi

    Watu wa Afrika ya kusini wanafanya uchaguzi mkuu wao hapo Mei 29, 2024 ukiwa ni uchaguzi mkuu wa 7 wa kidemokrasia tangu kuanguka kwa utawala wa kikandamizaji na kibaguzi wa wazungu wachache mwaka 1994. Ifuatayo ni makala fupi iliyoandaliwa na mwandishi Nomsa Maseko wa BBCSwahili kuangazia...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni vitabu gani vizuri vya elimu ya matatizo yetu Afrika vilivyoandikwa na waafrika

    Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k. Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia waliminya haki. sijitaji vitabu vya mtu kaandika tu ajulikane nae ana kitabu, sipend vitabu vya...
  5. JamiiForums Tanzania Jose Chameleon: Msanii aliyeitikisa Afrika Mashariki

    Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kenya yaorodheshwa kama nchi ya nne kwa utajiri barani Afrika

    Kenya iliorodheshwa katika nafasi ya nne katika nchi tajiri zaidi barani Afrika na siku 2 zilizopita Kenya imeorodheshwa miongoni mwa masoko makubwa matano tajiri barani Afrika yenye mamilionea na mabilionea. Kulingana na Ripoti ya Utajiri ya Afrika ya 2024 iliyochapishwa na Kampuni ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani inaendelea kuilenga kampuni ya TikTok, TikTok inaendelea kuwa maarufu barani Afrika

    Katika siku za karibuni Marekani imeendelea na mpango wake wa kuishambulia China na makampuni yake, baada ya wabunge na ikulu ya Marekani kusema wana wasiwasi kuwa kampuni inayomiliki App ya TikTok inahatarisha usalama wa Marekani na inaweza kutumiwa kufanya ushawishi kwenye uchaguzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania WHO yadai Dawa ya Kifua 'Benylin Paediatric Syrup' iliyogundulika kuwa na Sumu haipo kwenye soko la Afrika

    AFYA: Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Dawa ya Kutibu Kifua kwa Watoto aina ya Benylin ambayo vipimo vya uchunguzi vilibaini ilikuwa na viwango visivyokubalika vya Dawa ya 'Diethylene Glycol' Dawa hizo ambazo zilikuwa zikizalishwa na kampuni ya Johnson & Johnson (JNJ.N) ya Afrika Kusini...
  10. JamiiForums Tanzania Kama lengo la chama cha siasa ni kushika madaraka, kwa sasa CCM ndiyo chama chenye mafanikio zaidi Afrika?

    Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi Afrika Mashariki itakavojitenga na Afrika

    Historia ya mwanzo wa mabara katika dunia ni moja ya hadithi ndefu zaidi katika maendeleo ya wanadamu. Inahusisha mambo mengi kama vile mabadiliko ya tabia nchi, uhamiaji wa binadamu, na mageuzi ya kijiolojia. Katika jiolojia kinachojulikana hadi sasa kuhusu dunia kupitia. Pangaea ilikuwa jina...
  12. JamiiForums Tanzania CAF kweli mmekosa siku Maalum ya Matches za CAF Champions League? Hadi Leo Matches zenu zinagongana na Moja ya Derby kubwa Afrika.

    Nimeamka zangu Asubuhi hapa,baada ya kupiga Ishara ya Msalaba kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama, Nashika simu nakuta Reminder ya kua Leo ni Derby ya Kariakoo Moja ya Derby kubwa sana Afrika Mashariki na moja ya Derby mi saiv naita hata Derby inayoongoza even kusini Mwa Jangwa la Sahara...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu

    Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya. Akizungumza Aprili 17, 2024 wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX USALAMA PAMOJA2024...
  14. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
  15. JamiiForums Tanzania Afrika haihitaji kufundishwa jinsi ya kuchagua marafiki zake

    “Tunawaambia moja kwa moja kwamba hamwezi kutulazimisha kuchagua marafiki zetu. Tunafikiri China ni rafiki yetu mkubwa, na hakuna mtu anayeweza kutufanya tuachane. Ni ujinga kuona kuwa sisi Waafrika hatuwezi kufikiria.” Maneno haya yamesemwa na balozi wa Rwanda nchini China James Kimonyo...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Mika Mwamba ndie Producer pekee alietengeneza biti kali za nyimbo ziliyowahi kusumbua nchi zote za Afrika Mashariki kwa mpigo

    enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU) Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za Afrika Mashariki. 1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down) 2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki), Mad...
  17. JamiiForums Tanzania Zabuni (tender) ya kununua vitu vya kawaida kabisa anapewa mchina viongozi wa Afrika ni wabinafsi sana

    Copy & paste Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Sifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki ardhi takribani asilimia 85 yenye rotuba, kabla ya kutetea naomba ujibu swali rahisi, hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi wa Nchi za Ukanda wa Mashariki mwa Afrika waungana na Rwanda kumbukumbu mauaji ya kimbari

    Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki Wameungana na Polisi wenzao kutoka Nchini Rwanda kuuwakumbuka Wananchi waliopoteza maisha katika mauaji ya kimbari Nchini Rwanda. Akiongea leo Aprili 14,2024 katika Shule ya Polisi Tanzania Mkoani Kilimanjaro Mkurungenzi Mkuu wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa bara la Afrika Tanzania ni super power na mzaliwa wa kwanza kwa haki

    Niko katika kazi ya kuipeleka Tanzania kwenye new season in spiritual point of view leo tutaangalia jinsi gani Tanzania ni super power tuaangalia historical perspective na natura perspective Kipindi cha utawala wa nyerere tuliona Tanzania ikijitoa kusaidia nchi nyingi za Afrika kuondokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…