Pana haja ya kuanzishwa (iwapo bado) shirika mahsusi wa kutoa misaada itokayo nchi za Afrika kwenda nje ya Afrika. Sikumbuki kusikia shirika la misaada la nchi yoyote ya Kiafrika. Kama lipo shirika la namna hiyo, basi halisikiki sana.
Wanufaika wa shirika hilo wanaweza kuwa Waafrika na binadamu...