afrika

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

    Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa. Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter. Chanzo: Ukurasa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika, SADC, EAC na UN mpeni Rais Magufuli tuzo ya heshima

    Kiongozi anayefanikiwa kuwaondolea hofu watu wake, kuwaongoza katika kipindi kigumu na kuwavusha salama ndilo hitaji LA Dunia kwa sasa. Kiongozi anayepanga mikakati, kuisimamia na kufanya maamuzi magumu yenye manufaa kwa nchi take, Huyo ndiye kiongozi bora. Pamoja na hatua madhubuti...
  3. JamiiForums Tanzania Chambuzi kuhusu Afrika na kifo cha George Floyd

    Watanzania na waafrika wanapinga tukio la Askari kusababisha kifo cha Mmarekani George Floyd. Wamarekani wameandamana huku waafrika/watanzania wakitoa maneno makali mitandaoni na mitaani juu ya tukio hilo. Kwangu mimi kifo au ukatili ule umenifunza kuwa umma ukiamua kupata mabadiliko lazma...
  4. JamiiForums Tanzania Mwalimu Julius Nyerere 1997 Speech to the South African Parliament (FULL TEXT and VIDEO)

    Mwalimu Julius K. Nyerere: 1997 So the first thing I wanted to say about Africa south of the Sahara is that you are isolated from the centres of power. Africa south of the Sahara is isolated. Africa south of the Sahara, in the world today, is on its own — totally on its own. That’s the first...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wamefungua shule za msingi | Je, sisi ni lini?

    Wanabodi nauliza tu hivi Corona bado ipo bongo? Jana niliona Al Jazeera Africa Kusini watoto wadogo nao wamerudi shule! Wao nadhani hawaogopi sana kufa kwa korona sababu kwasasa wana maambukizi 35,000, sisi 0.1! Nauliza tu, hapa kwetu ni lini tunafungua shule za msingi na chekechea aka vidudu...
  6. JamiiForums Tanzania Mbona Afrika hatuandamani kupinga mauaji ya kikatili na kifedhuli ya mweusi mwenzetu?

    Thousands of people in New Zealand marched in solidarity Monday with those in the United States protesting the death in police custody of African American George Floyd. Protesters in Auckland marched to the U.S. Consulate and chanted slogans familiar at U.S. protests, including “black lives...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Thomas Isidore Sankara: Taa ya AFRIKA iliyozimika ghafla ikiwa na umri mdogo wa miaka 38 kwa mapinduzi na kuuawa na Rafiki yake Kipenzi

    “While Revolutionaries as individuals can be murdered, you cannot kill Ideas”, Haya yalikuwa ni maneno ya Thomas Sankara aliyoyatamka wiki moja kabla ya kuuawa. Thomas Sankara alikuwa kiongozi na akiwa na miaka 33 tu, Lakini mwenye maono makubwa na siasa za mrengo wa kushoto, anatambulika...
  8. JamiiForums Tanzania "Nashindwa kupumua" ni sauti ya Afrika kwa ujumla, George Floyd ni sampuli

    Kwa uchungu sana naandika " I can't breath". Kauli hii ni kumbukumbu ya madhila ya ubaguzi na unyanyasaji wa utu wa watu weusi unaofanywa Wazungu "weupe". George Floyd ametamka sentensi ya mwishonimwishoni kwa ufasaha licha ya kuwa chini ya mgandamizo mkubwa wa goti la polisi mweupe.Namchukulia...
  9. D

    JamiiForums Tanzania WHO walitabiri hadi kufika katikati ya Mei maiti zitakuwa zinazagaa katika mitaa na vichochoro vyote katika Bara la Afrika kutokana na COVID-19

    Huo ulikuwa utabiri wa mke wa mzungu ambaye ni tajiri mkubwa dunia mama Melinda Getes ambapo utabiri wake ulipaliliwa na shirika la afya duniani WHO. Utabiri huo haukuishia hapo ulikwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ugonjwa wa Korona utaipiga Afrika barabara yaani thelusi 3 ya watu weusi...
  10. JamiiForums Tanzania Unamkumbuka yule askari aliyeua mtu mweusi US,basi kwisha habari yake. Wazungu wakekesha kupiga simu Afrika kuomba msamaha

    Waswahili wanasema ukijua hili wenzio wanajua lile. Kikundi cha kina mama kutoka Kongo kimesema enough is enough, wamesema sasa basi. Wakina mama hao wamechoshwa na taarifa za kila siku kutoka Marekani ambapo kila kukicha watu weusi wamekuwa wakiuliwa na hivyo kutishia kutoweka kwa kizazi cha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tamko la wazee Chadema: Mbowe ndiye kiongozi pekee barani Afrika asiyelipwa posho wala malipo yoyote na chama chake, anajitolea!

    Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe. Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe: Mosi Mbowe ni mwenyekiti...
  12. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Wadiya: Taifa la Afrika lisilotambulika

    Ukitazama filamu iitwayo “The Dictator” iliyoingia sokoni kwa mara ya kwanza mwaka 2012 (sasa inapatikana katika mtandao wa Netflix na Youtube) utabaini kuwa kuna taifa barani Afrika linaloitwa Jamhuri ya Kidikteta ya Wadiya, maarufu kwa jina la Wadiya. Ni filamu iliyoigizwa katika nchi mbili...
  13. JamiiForums Tanzania Diamond atuzwa ufalme wa kuwa Mtumbuizaji Bora Afrika

    Wiki iliyopita kuibuka mzozo wa Burnaboy na Diamond nani mkali Jana kwenye show ya MTV Base Afrika kijana wetu kagongelea msumari hakuna wa kumzidi kwenye perfomance stejini au kokote akifanya show Hadi B Dozen kakubali mzigo aliopiga Diamond, leo akiwa live kwenye kipindi cha XXL japo...
  14. JamiiForums Tanzania Salamu na ushauri kutoka Afrika ya Kusini kwa dada aliyedhalilishwa kuwa aliiba mume wa mtu

    Dada aliyedhalilishwa kwa kupigwa ikisadikika kwa kufumaniwa na mme wa mtu amesema wakati wa shamlashamla aliibiwa shilingi laki tisa Mimi sham natuma salamu Kwanza pole kwako kwa kudhalilishwa mimi Kama mwanamke niliumia sana kwa kitendo ulichofanyiwa, hata Kama alikuwa hivyo haikuwa lazima...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania waliokwama kwa lockdown Afrika Kusini warejea nchini

    Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi Jumatatu Mei 25, 2020 amesimamia zoezi la repatriation (usafirishaji) wa dharura) ya Watanzania pamoja na raia kadhaa wa nchi hiyo waliokwama kutokana na Lockdown na kusitishwa safari za ndege inayoendelea huko, kutoka...
  16. JamiiForums Tanzania Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

    Kuhusu kulipia show =========== Jamaa kaona isiwe kesi, Kiki hakuna kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu ==================== Kuhusu performance ya kuwa nzuri ===================== ================== Kuhusu performance ya kuwa sio nzuri ================
  17. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kulegeza masharti kukabiliana na Corona

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema maambukizi ya virusi vya Corona nchini mwake yanaendelea kuongezeka kama ilivyobashiriwa na wanasayansi. Katikati mwa wiki iliyopita wanasayansi nchini Afrika Kusini walionya kuwa huenda watu 50,000 wakapoteza maisha na wengine zaidi ya Milioni tatu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afrika: Rais Magufuli ang'ara, UN yazitaka nchi tajiri kusamehe madeni kwa nchi za Afrika ili ziweze kupambana na Corona

    Leo ni siku ya Afrika. Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona. Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
  19. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Rais Ramaphosa asema mlipuko wa Corona utakuwa mbaya zaidi nchini humo

    Rais wa Afrika Kusini ametehadharisha kuwa hali ya mlipuko wa virusi vya corona inaelekea kuwa mbaya zaidi, wakati akitangaza kulegeza masharti ya kubaki nyumbani. Cyril Ramaphosa amesema zaidi ya watu 22,000 wamerekodiwa kuwa na maambukizi juma lililopita. Pamoja na hayo , rais amesema kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kiongozi wa Chama cha siasa kutokea Afrika anayeheshimika zaidi Duniani

    Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia. Huyu ndio Mwanasiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…