Kwahiyo Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) hawajawaona Wachezaji wazuri wa Yanga SC yangu hadi wawaone wa Simba SC tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Medie Kagere ametajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ngazi ya Vilabu 2019 (African Interclubs Player of the Year).

Emmanuel Okwi ambaye msimu uliopita alikuwa sehemu ya kikosi chetu na yeye ametajwa kuwania tuzo hiyo.

Hongera kwa Kagere, Okwi na Mbwana Samatta ambaye ametajwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka.

Chanzo Taarifa: Mtandao wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF)

GENTAMYCINE nikiwa kama Mwanachama Nguli na ‘ Lia Lia ‘ kabisa wa Timu yangu pendwa ya Yanga SC nauomba Uongozi wa Klabu yangu ya Yanga haraka uwaandikie Barua CAF ya Kuwaomba watupe sababu kwanini Wachezaji waliotajwa ni huyo wa Simba SC lakini hata hao wengine Wawili nao walishakuwa Wachezaji wa Simba SC lakini huku Kwetu Yanga SC hawajamtaja hata Mmoja wao.

Kwahiyo CAF wanataka kusema kuwa Washambuliaji wetu mahiri kabisa kama David Molinga ‘ Inye Ndembe Ndembe ‘, Patrick Sibomana ‘ Mrembo ‘ na Juma Balinya ‘ Bichwa ‘ hawajawaona na Kumchagua Mmoja wao tu kama siyo wote? Kwanini Yanga SC inadharaulika hivi lakini?

Na kama Uongozi wa Yanga SC hautawasema na Kuwasusia CAF kwa Kutubagua Kwao huku kwa Kumchagua Mchezaji huyo pekee wa Simba SC Tanzania nzima na kutowataja wa Yanga SC basi na Mimi kwa hasira kabisa nitaihama Yanga SC yangu na kwenda Simba SC ambako naona kila Siku tu Kunanoga huku Yanga SC yetu ikiwa inazidi kuwa Klabu ‘ mbovu mbovu ‘ kushinda zote Barani Afrika.
 
We mikia FC achana na Yanga weye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom