Je, zile Juhudi za wale 'Maprofesa' waliomshinda Mkulima Afrika Kusini mbona hatuzioni sasa huko nchini Canada?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,002
107,344
Kuna Mmoja wa hao ‘ Maprofesa ‘ ndani ya hilo Jopo lao ( sasa Naibu Waziri wa Wizara ambayo nimeisahau kwa sasa ila nikiikumbuka nitaitaja ) nakumbuka baada tu ya Kufanikiwa ‘ Kuikomboa ‘ Kisheria Mbung’o / Ndege yetu huko kwa Waafrika Wenzetu Afrika Kusini alipohojiwa alikuwa akiongea kwa Mikogo yote huku ‘ akijimwambafai ‘ kwa kusema kuwa ingekuwa ni ngumu kwa Watu wenye ‘ PhD’s ‘ za uhakika kama Wao Kushindwa ‘ Kuikomboa ‘ Ndege yetu na kututaka Watanzania tuwaamini kwani hawakuenda Vyuo Vikuu Kupoteza muda bali walienda Kuelimika hasa.

Sasa GENTAMYCINE nauliza kama kweli Wao ( hilo Jopo la Maprofesa Wabobezi wa Sheria ) wameiva na walimuweza Mkulima kule nchini Afrika Kusini kwa Waafrika Wenzetu inakuwaje leo Jasho linawatoka kwa Mkulima aliyehamia kwa Wazungu nchini Canada? Na kwanini hivi sasa Watanzania hatupewi tena ‘ Updates ‘ za ‘ Kujimwambafai ‘ Kwao kama walivyokuwa wakitupa mara kwa mara walipokuwa Bondeni?

Huu ni Ushauri wangu tu binafsi Mimi GENTAMYCINE Kwao hilo Jopo la hao ‘ Maprofesa wa Kujimwambafai ‘ kuwa najua wana hizo ‘ PhD’s ‘ zao nzuri tu ila wasione Aibu kuomba Msaada kwa ‘ Genius ‘ wa Masuala ya Kisheria ambaye hana ‘ PhD’s ‘ kama Wao ila IQ yake tu Kubwa aliyonayo ni sawasawa na IQ’s zao wote hao Wanne na anaijua Sheria ‘ Kindakindaki ‘ kuliko Wao ‘ Mtani ‘ wangu wa Kinyiramba Ndugu Tundu Antipasi Lissu.

Nahisi kama tungeondoa ‘ Chuki ‘ Kwake Tundu Lissu na tukamshirikisha vyema kabisa katika hilo Jopo basi huyu Mkulima wala asingethubutu tena ‘ Kutusumbua ‘ Watanzania mara kwa mara na Kutufanya ‘ Mazuzu / Majuha ‘ namna hii. Acheni Siasa zenu na msione Aibu Kumuomba Tundu Lissu ‘ Kolabo ‘ nae ya Kisheria ili mfanikiwe vinginevyo huyu Mkulima atawanyimeni mno Usingizi na huenda hata baadhi yenu ikapelekea Kutoaminiwa na aliyewateua na mkazipoteza nafasi zenu za Kimamlaka / Kiuteuzi.
 
Huyo LIKISU wako pamoja na kumumwambafai kuwa anajua sheria mbona anaogopa kujisimamia kisheria na kurudi nchini? Mbona analialia na kusema kuogopa kurudi nchini atakamatwa kutokana na kuitukana serikali na nchi yake akiwa kwa mabeberu? Kumbe BISU lako is just a coward!
 
Wewe umiminiwe risasi 32 unaweza kurudi hapo?
Tumia akili ya kuzaliwa,sio lazima uende skuli
Huyo LIKISU wako pamoja na kumumwambafai kuwa anajua sheria mboa anaogopa kujisimamia kisheria na kurudi nchini? Mbona analialia na kusema kuogopa kurudi nchini atakamatwa kutokana na kuitukana serikali na nchi yake akiwa kwa mabeberu? Kumbe BISU lako is just a coward!
 
TUache ushabiki na siasa tutazame ishu ya Lissu kurudi kibinadaamu,
Alichopitia Lissu inahitaji zaidi ya moyo wa kibinadaamu (Kumbuka Lussu ni binadamu) kurudi kwenye eneo lile lile uliponusurika kifo ikiwa waliojaribu kukuua wakiwa bado wapo na uwezo na mamlaka ya kufanya hivyo tena.
 
Huyo LIKISU wako pamoja na kumumwambafai kuwa anajua sheria mbona anaogopa kujisimamia kisheria na kurudi nchini? Mbona analialia na kusema kuogopa kurudi nchini atakamatwa kutokana na kuitukana serikali na nchi yake akiwa kwa mabeberu? Kumbe BISU lako is just a coward!
Walimshindwa kwa sheria ndio maana waliamua kufanya walichofanya.mbona hata swala makinikia alieleza vizuri kisheria mkampuuza nn kimetokea?
 
Kwa niaba ya mkulima tunasema 🥂🍾 cheers.

Safari hii ametushika pabaya kweli kweli Mkulima wa Watu. Hata ' PhD's ' za Maprofesa Wetu ndani ya Jopo lao hivi sasa Jasho linawatoka huko nchini Canada hadi naanza Kuhisi kuwa huenda ile Ndege yetu kule Afrika Kusini iliachiwa kwa Msaada tu wa Urafiki wa Tanzania na Afrika Kusini hasa ukizingatia kuwa Mtu Mmoja hapo ndiyo Rais wa SADC kwa sasa hivyo Busara na Hekima ilitamalaki.

Hali imekuwa tofauti huko kwa Wazungu nchini Canada na yawezekana imekuwa ngumu zaidi labda kutokana na kwamba hao Wazungu ( Wakanada ) huwa hawakutani na Rais wa SADC mara kwa mara katika Mikutano mbalimbali duniani ambayo huenda ingesaidia Kujenga Urafiki nao mwema na ule wa Kimahusiano ambao ungepelekea leo hii hata mambo madogo kama Kutoshikiwa Bango kama hivi ilivyo sasa.

Nahisi kuna la Kujifunza hapa kwa Sisi tusiopenda sana Kusafiri na safari zetu nyingi ni za ' Kidomestiki ' tupu Tandahimba, Chunya, Liwale na Ihumwa.
 
Walimshindwa kwa sheria ndio maana waliamua kufanya walichofanya.mbona hata swala makinikia alieleza vizuri kisheria mkampuuza nn kimetokea?

Akikujibu katika hili naomba ' Unitagi ' tafadhali Mkuu.
 
Huyo LIKISU wako pamoja na kumumwambafai kuwa anajua sheria mbona anaogopa kujisimamia kisheria na kurudi nchini? Mbona analialia na kusema kuogopa kurudi nchini atakamatwa kutokana na kuitukana serikali na nchi yake akiwa kwa mabeberu? Kumbe BISU lako is just a coward!
Hivi risasi, uhai na sheria wapi na wapi?
 
Huyo LIKISU wako pamoja na kumumwambafai kuwa anajua sheria mbona anaogopa kujisimamia kisheria na kurudi nchini? Mbona analialia na kusema kuogopa kurudi nchini atakamatwa kutokana na kuitukana serikali na nchi yake akiwa kwa mabeberu? Kumbe BISU lako is just a coward!
Mabinti wa UVCCM mnaishia darasa la ngapi?
 
Yesu mwenyewe kile kichapo pale msalabani mpaka leo alisema atarudi na hadhubitu kurudi sembuse lisu?
Kiroho Yesu yupo wala hatummiss! Kimwili atarudi kama alivyosema lakini bora achelelewe ili wabishi kama wewe muweze kuokoka maana baada ya kuja hakutakuwa na second chance ya kuokoka!
 
Practice ya sheria haiitaji PhD, ni degree na Law school tu (advocate), angalia hata mawakili maarufu utakuta most of them hawana PhD
 
Kuna Mmoja wa hao ‘ Maprofesa ‘ ndani ya hilo Jopo lao ( sasa Naibu Waziri wa Wizara ambayo nimeisahau kwa sasa ila nikiikumbuka nitaitaja ) nakumbuka baada tu ya Kufanikiwa ‘ Kuikomboa ‘ Kisheria Mbung’o / Ndege yetu huko kwa Waafrika Wenzetu Afrika Kusini alipohojiwa alikuwa akiongea kwa Mikogo yote huku ‘ akijimwambafai ‘ kwa kusema kuwa ingekuwa ni ngumu kwa Watu wenye ‘ PhD’s ‘ za uhakika kama Wao Kushindwa ‘ Kuikomboa ‘ Ndege yetu na kututaka Watanzania tuwaamini kwani hawakuenda Vyuo Vikuu Kupoteza muda bali walienda Kuelimika hasa.

Sasa GENTAMYCINE nauliza kama kweli Wao ( hilo Jopo la Maprofesa Wabobezi wa Sheria ) wameiva na walimuweza Mkulima kule nchini Afrika Kusini kwa Waafrika Wenzetu inakuwaje leo Jasho linawatoka kwa Mkulima aliyehamia kwa Wazungu nchini Canada? Na kwanini hivi sasa Watanzania hatupewi tena ‘ Updates ‘ za ‘ Kujimwambafai ‘ Kwao kama walivyokuwa wakitupa mara kwa mara walipokuwa Bondeni?

Huu ni Ushauri wangu tu binafsi Mimi GENTAMYCINE Kwao hilo Jopo la hao ‘ Maprofesa wa Kujimwambafai ‘ kuwa najua wana hizo ‘ PhD’s ‘ zao nzuri tu ila wasione Aibu kuomba Msaada kwa ‘ Genius ‘ wa Masuala ya Kisheria ambaye hana ‘ PhD’s ‘ kama Wao ila IQ yake tu Kubwa aliyonayo ni sawasawa na IQ’s zao wote hao Wanne na anaijua Sheria ‘ Kindakindaki ‘ kuliko Wao ‘ Mtani ‘ wangu wa Kinyiramba Ndugu Tundu Antipasi Lissu.

Nahisi kama tungeondoa ‘ Chuki ‘ Kwake Tundu Lissu na tukamshirikisha vyema kabisa katika hilo Jopo basi huyu Mkulima wala asingethubutu tena ‘ Kutusumbua ‘ Watanzania mara kwa mara na Kutufanya ‘ Mazuzu / Majuha ‘ namna hii. Acheni Siasa zenu na msione Aibu Kumuomba Tundu Lissu ‘ Kolabo ‘ nae ya Kisheria ili mfanikiwe vinginevyo huyu Mkulima atawanyimeni mno Usingizi na huenda hata baadhi yenu ikapelekea Kutoaminiwa na aliyewateua na mkazipoteza nafasi zenu za Kimamlaka / Kiuteuzi.
Umejuaje jasho linawatoka umeenda kwenye kesi au wamekwambia hivyo kesi inasikilizwa kwasiku maalum lazimausubir tarehe uliyopangiwa .
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom