afrika

  1. JamiiForums Tanzania Akitoa hotuba wakati wa kuapishwa Dkt Magufuli. Je, mtazamo wa Museveni unahakisi ule wa wengi wa Marais wa Afrika juu ya demokrasia ya vyama vingi?

    Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity, strategic security na brotherhood. Ingawaje hiyo strategic security sikuielewa vizuri. Pia alisema kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Simba SC wapewa Plateau United ya Nigeria

    Nakudodoshea hii Simba Sc wamepewa Plateua United ya Nigeria. Club hii ambayo sio bingwa wa Nigeria; iliteuliwa kuwakilisha nchi kwa sababu ilikuwa inaongoza ligi kabla ya lockdown ya Corona. Anayeijua zaidi atudondoshee
  3. JamiiForums Tanzania Trump aliwalea madikteta wa Afrika, kung'oka kwake ni pigo kwao. Sasa wataanza kushughulikiwa bila huruma

    Rais wa Marekani aliyeng'olewa madarakani Donald Trump alisaidia Madikteta wa kiafrica kung'ara na udikteta wao kwa vile aliidharau Afrika aliyoiita Shit hole na kuachana nayo, huku akijua wazi kwamba Punda hawezi kwenda bila mijeledi , jambo hili la USA kuipuuza Afrika na watu wake lilipelekea...
  4. JamiiForums Tanzania Eurocentric & Deterrent Criminal Court: Kama Burundi walijitoa, mpaka sasa Tanzania imenufaikaje na uwepo wa Mahakama inayolenga viongozi wa Afrika?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kama nchi ndogo za Rwanda na Burundi ambao ni jirani zetu walijitoa kutoka katika taasisi hii inayosemekana inafumbia macho uhalifu unaotendwa na mataifa ya Ulaya (Eurocentric), mpaka sasa Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Ni Afrika kwa sababu ya Uvivu hata namna yetu ya Kukaguana ni ya hovyo pia. Ziara za kushtukiza ni Usanii

    Huwa najiuliza hizi ziara za kushtukiza lengo lake huwa ni kugundua nini? Unaweza shtukiza shambani kujua kama uliowapa kazi ya kulima wanalima au wamelala chini ya vivuli. Kinyume na hapo dunia ya leo haina wavivu wa namna hiyo au wafujaji wa namna hiyo, ina watu ambao wapo kazini lakini si...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Afrika kuwa na Chombo Huru cha kusimamia Chaguzi zote na kuwa na Sauti Moja dhidi ya Mataifa Makubwa

    Wakuu, Ni dhahiri kabisa kwa sasa mataifa ya Ulaya na Marekani wamekwisha ona udhaifu wa nchi za kiafrika kutosimamiana yenyewe kwa kuteteana au kuonyana pindi inapotokea chi nyingine nje ya bara Afrika linapoanza ukosoaji kwa kutimia sababu halali lakini malengo ni kinyume chake. 1. Hakuna...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Museveni naye aanza kunyoosha Waganda, amtia ndani Bobi Wine baada ya uteuzi. Afrika na EAC patamu

    Mara baada ya Bobi Wine kuteuliwa kuwania urais na kupokezwa cheti, ameibukiwa na mapolisi na kuswekwa ndani tena kwa matumizi ya nguvu nyingi na vurugu zisizo za kawaida, ukanda huu wa EAC lazima mtanyooka, ni mwendo wa kidikteta kwa kwenda mbele, kumekuchaaa. Naomba Mungu asiruhusu kashetani...
  8. JamiiForums Tanzania Kuingia kwa vyama pinzani Afrika kutaleta maendeleo kwa haraka (ndani miaka 2 au 3) kama wananchi tunavyotarajia

    Mimi nadhani ifike wakati na kukubali kwamba sisi wa africa bado hatujui tunapo kwenda na tulipotoka siku zote hakuna mtu au familia ambayo itaendelea kuwa na mambo makubwa pasipo kuwa na umoja hasa kwa upande wangu nadhani:- Uwepo wa kitu kinacho itwa demokrasia na vyama vingi ilikuwa ni...
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli akishinda, Afrika imeshinda

    Kesho Oktoba 28, 2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nianze kwa kuwatakia Uchaguzi mwema wa Kizalendo kwa watanzania wote, ukiwa uchaguzi wa amani, huru na haki kwa watanzania wa vyama vyote, jinsi zote, dini zote, rika zote na kada zote. Uchaguzi huu ni muhimu kwa watanzania na Afrika...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KCB ndio benki bora ukanda wote huu wa Afrika Mashariki na Kati

    Ni muendelezo wa kukumbushiana tu kwamba nani kinara kwenye kila tasnia ukanda huu. ====== The performance is an improvement from position 717 last year in the ranking which tracks the health and wealth of the global banking sector. In 2018, KCB was ranked 809. In what reaffirms the Bank’s...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nadhani Afrika Kusini inawajibika kututhibitishia kwamba karatasi na vifaa vya kura vimezalishwa na kampuni ya nchi hiyo! Wasije kuonekana wanashiriki

    Nchi nyingi Duniani utangaza nakuweka wazi kampuni yakuzalisha vifaa na karatasi za kura na jamaa ni kampuni ya nje ya nchi husika vasi siku vifaa vinaingizwa nchini utangazwa na media uruhusiwa kuona mapokez kama tunavyopokea watalii au ndege zinaponunuliwa. Pili mkataba wa tenda hiyo uwekwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mbona walinzi wa viongozi Bara la Afrika wana vitambi?

    HABARI wana jukwaa natumai watu ni wazima wa afya na mko tiyari kabisa kuchagua kiongozi bora kwa manufaa ya Taifa letu la uchumi wa kati. Bila kuwachosha naenda to the main topic on hand nimekuwa nikifuatilia walinzi wa maraisi mbali mbali duniani haswa bara la Afrika maana nami nina ndoto ya...
  13. JamiiForums Tanzania Uchumi ndiyo unaweza kuamua Demokrasia, Afrika hatujafika huko

    MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA. Na Elius Ndabila Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha jambo moja kubwa wapiga kura kabla hawajaenda kupiga kura tr 28/10/2020. Jambo hilo ni Madhara ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tunaweza kuchagua upinzani Afrika? Twende pamoja

    MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA. Na Elius Ndabila Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha jambo moja kubwa wapiga kura kabla hawajaenda kupiga kura tr 28/10/2020. Jambo hilo ni Madhara ya...
  15. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Afrika na China hauna maslahi kwa Wananchi. Una maslahi kwa watawala Madikteta

    Popote pale China ilipo inaweka mazingira mazuri kwa ajili ya watu wake. Hivyo hujitahidi sana kukamata Serikali iliyopo Madarakani kwa kui support kwa hali na mali ili Serikali hiyo iendelee kuwanyonya wananchi na China ifaidike kwa maslahi ya nchi yake. China ya sasa siyo China ya Ujamaa. Hii...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

    Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid. Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inapanga kujenga uthabiti wa kiuchumi na kupunguza athari za kiuchumi, kijamii na kiafya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sichukii kuzaliwa Mwafrika wala sichukii kuzaliwa Afrika; nachukia kutojikubali kuwa mimi ni Mwafrika

    Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, Katika kipindi chote nilichoishi hapa duniani nimeweza kupata kujua mwafrika ni mtu wa namna gani. Mwafrika anajichukia sana ila mwafrika amepewa nguvu na akili nyingi licha ya kwamba yeye mwenyewe halijui hilo, sio kwamba hajui kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro? Sijataka kuongelea kuhusu Kenya kwa maana wadau wataanza...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Gari yaibwa Afrika ya Kusini na kupatikana baada ya masaa matatu ikiwa kwenye hali hii

  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Equity ya Kenya yatajwa ndani ya mabenki kumi bora Afrika

    Huku wenye wivu wakiendelea kuuguza maumivu baada ya taarifa za KCB kupata faida zaidi ya ukijumuisha mabenki yao yote, haya hii nyingine ya kuendelea kutonesha.....ni zamu ya Equity bank sasa. ===== Equity, with a balance sheet size worth Kshs. 673.7 billion at the end of 2019, has been...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…