afrika

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa

    Yaani wanafunzi wanasubirishwa nje ili kundi la kwanza likamilishe somo kwenye ratiba yao, hii Afrika tumechelewa kweli maana siamini mambo kama haya yanatendeka kwenye karne hii miaka mingi sana tangu mkoloni aondoke. Vipau mbele hamna, utakuta wakulu wanasafiri kwa magari ya kifahari kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Touadera ashinda kwa Muhula wa Pili Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Rais Faustin-Archange Touadera ametangazwa Mshindi wa Uchaguzi wa Rais uliofanyika tarehe 27 Desemba katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo usiku wa kuamkia leo, yamempa Touadera asilimia 53 ya kura zilizopigwa. Mwenyekiti wa tume hiyo Mathias...
  3. JamiiForums Tanzania Msikiti wa al-Najashi: Msikiti wa kwanza Afrika waharibiwa kwa makombora Tigray Ethiopia

    Serikali ya Ethiopia imeahidi kukarabati Msikiti wa kale wa uliyoharibiwa mwezi uliyopita katika mzozo uliyokumba jimbo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo Msikiti wa al-Nejashi uliripotiwa kushambuliwa kwa makombora, vitu ndani kuibwa na makaburi ya kihistoria ya viongozi wa Kiislamu kuharibiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Asasi nne za kiraia zaishitaki Tanzania mahakama ya Afrika Mashariki kwa 'Ukiukwaji mkubwa' kutoka kwa polisi wake

    Asasi nne za kiraia zimeifikisha mahakamani Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa karibuni ambao ulimrudisha madarakani Rais John Pombe Magufuli. Taasisi kutoka Kenya na Uganda zinaishtaki Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki, zikituhumu vyombo vya usalama...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika, AfCFTA kuanza leo, Tanzania haimo

    Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC...
  6. JamiiForums Tanzania Uingereza yaidhinisha Chanjo ya Covid 19 iitwayo AstraZeneca

    Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona iliyotengenezwa na Kampuni ya AstraZeneca kwa kushirikiana na Wanasayansi wa Chuo cha Oxford imeidhinishwa kwa ajili ya matumizi. Waziri wa Afya, Matt Hancock amesema itaanza kutolewa kwa Umma Januari 04, 2021. Uingereza imeagiza dozi Milioni 100 ambazo...
  7. JamiiForums Tanzania Mwaka 1985, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit kwa Rais

    Mwaka 1985 kwenye marekebisho ya katiba yetu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit ya vipindi viwili vya miaka mitano kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, baadaye ilifuatiwa na nchi ya Senegal kufanya...
  8. JamiiForums Tanzania Siasa za Afrika zinaharibiwa na watawala walioko madarakani

    Siasa za Kiafrika zimejaa hila uhuni mauwaji jinai utekaji hujuma wizi na kila aina ya uovu. Yaliyotokea Tanzania ndio yanatokea Uganda kwa Museveni. Somo la historia tunalofundishwa kuwalaani wazungu na ukoloni wao kwetu inabidi tubadili mtaala wake kwasababu viongozi wa Afrika wa sasa ni...
  9. JamiiForums Tanzania KWANINI WAUZA SEMBE KUTOKA TZ NA KENYA HAWASEMWI SANA AFRIKA KUSINI KAMA ILIVYO KWA WANAIJERIA

    Nimeoma huko sauzi kuna ile hali ya kuwaona wanaijeria ni wauza madawa, Je hali ipoje kwa watz na kenya wanaouza
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwa chanjo ya Corona Afrika

    Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya. Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid, wataalm wanadai bara la Afrika litakuwa la mwisho kupatiwa chanjo hiyo. Hapa wazungu wamewa-betray...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya China katika ajenda ya ujenzi wa viwanda barani Afrika

    Na Eric Biegon – Nairobi Ukuaji wa kasi wa uchumi wa China umekuwa tukio kuu katika karne ya 21. Historia ya taifa hilo unaashiria kuwa nguzo kuu ya mafanikio haya ni maendeleo ya viwanda vyake. Uwekezaji huu katika eneo la viwanda ulichangia kuongezeka maradufu kwa pato la taifa la China kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Arusha city Geneva ya Afrika imegeuka Mogadishu ya Tanzania

    Serikali yetu imechangia kuuwa mji wa Arusha, kwa nini walijenga ukumbi wa Nyerere Dar wakati tayari AICC ipo ? AICC ilikuwa ni chanzo kikubwa sana cha Uchumi wa Arusha City baada ya UN, sasa UN wameondoka, AICC Mikutano hakuna kwa maana yote inafanyikia Dar unajiuliza kwanini waliamua kujenga...
  14. JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Afrika

    Msikilize kwa umakini. Maoni yako ni nini?
  15. JamiiForums Tanzania Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu? Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika sayansi yetu iko kiwango kingine kabisa, wazungu wasubiri

    Unakuta huyu ni baba mwenye nyumba wa nyumba uliyopanga.
  17. JamiiForums Tanzania Misri namba 1 Afrika nguvu za kijeshi

    Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 iliotolewa na taasisi ya Fire Power imeitaja nchi ya Misri kuwa ndio yenye zaidi ya kijeshi Afrika na inashika namba 9 duniani. --- Budget: $4.4 billion Active frontline personnel: 468,500 Tanks: 4,624 Total aircraft: 1,107 Submarines: 4 The Egyptian military...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfahamu Mugo wa Kibiru au Chege(Cege) wa Kibiru, Nabii aliyetabiri ujio wa mzungu/mkoloni Afrika Mashariki

    Hii ni kwa waafrika wote wafia dini za kuja kwa meli na manabii wa uongo, ambao hadi leo hii hawajatabiri jambo lolote la kweli kuhusu Afrika. Mugo wa Kíbirú alikuwa nabii aliyeishi kabla na wakati mkoloni alipowasili Kenya. Nabii Mugo alitabiri ujio wa mkoloni Afrika Mashariki, miaka mingi...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

    USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi? Tukubaliane: Tuna watu wengi ni waaminifu kwa sababu hawana cha kuiba au wanaogopa kukamatwa. Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania CAF angalieni Soka la Afrika kuna kipindi Vitakuja tokea Vita

    Pamoja na mimi kuwa mshabiki wa team nyingine ila hili wanalofanya Plateau ni soka la Kizamani sana. Fitna na Hujuma havisaidii mpira. hawa ni kuwatibu kama wydada vs mamelodi waarabu wa morroco wamesha nyooka kabisa siku hizi wamepunguza ujanja ujanja huu. nakumbuka mechi za msimu uliopita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…