afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yakabiliwa na utata katika kupambana na ugaidi wakati wa kuishi na COVID-19

    Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu wengi na uharibifu mkubwa, na huenda nusu ya ardhi katika kaunti hiyo inadhibitiwa na kundi hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Case Close: Aishi Manula ni Tanzania One, Case Starts: Namba moja Afrika

    Itoshe kusema kwamba ndani ya misimu hii mitano huyu ndio golikipa bora kwa Tanzania. Kumlinganisha na golie wengine ni kumkosea heshima tu. Tusisubiri mpaka Rais Samia amtolee tamko. Hii kesi tunaifunga na faili tunalitupa makumbusho. Tunafungua faili jipya tunasema Aishi Manula anatosha kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mashirika mengi ya Usafiri wa anga katika Afrika yanajiendesha kwa hasara

    Na Victor Wilbard. Kwa mujibu wa ripoti ya Benki ya Dunia inayohusiana na taarifa a kila mwaka za usafiri wa anga " World Bank Report; Air transport annual report" mwaka 2016 ilionesha kuwa usafiri wa anga unaohusisha hedge za abiria ukiendelea kufanya vizuri katika mataifa yaliyoendelea kwa...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imekuwa nchi ya Kwanza Afrika Mashariki kuzindua 5G

    Wakati majirani zetu bado wanalala usingizi wa pono, Kenya imekuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na kati kuzindua mtandao wa 5G. Safaricom imezindua mtandao wa 5G leo.
  5. JamiiForums Tanzania Aliyoyafanya Hayati Magufuli kwa miaka 6 ni makubwa zaidi ya yaliofanywa na serikali nyengine za Afrika kwa miaka 60

    Ndugu Wanajukwaa Kumpenda na kutokumpenda Hayati Magufuli ni chaguo binafsi la mtu. Pamoja na kwamba yeye alikuwa ni binadamu kwahivyo hakukosa kufanya makosa lakini ukweli ni bora usemwe tu. Mambo ya maendeleo aloyafanya ni makubwa sana. Ni kweli kwamba marehemu alikuwa na ujasiri mkubwa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

    TUMETOLEWA RASMI!!!! Ungana nami kuanzia saa 4 kamili kupata updates za video, Mechi ya Equotorial guniea vs taifa stars HIGHLIGHTS KIPINDI CHA KWANZA 1. CHUPU CHUPU 2. MANULA ANATUSAVE 3. MWAMBA. KIPINDI CHA PILI ASANYE MANULA VIJANA WA EWUATRIAL WAMEDOMINATE SANA MSUVA...
  7. JamiiForums Tanzania Salamu za rambirambi kutoka kwa viongozi, ofisi na watu mashuhuri Kufuatia kifo cha Rais Magufuli

    WAZIRI MKUU WA UINGEREZA Boris Johnson ameandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kusikitishwa na taarifa za kifo cha Dkt. John Magufuli RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA Dkt. Akinwumi "Akin" Adesina ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Magufuli kupitia ukurasa...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PLO Lumumba: Wazungu wanaichukulia Afrika kama Zoo. Hawajali utu wa watu wa Afrika

    PLO Lumumba ambae ni Mwanaumajimui maarufu wa Afrika anasema wazungu wanatumia jitihada kubwa kutunza Ndovu,Sokwe, Chui na wanyama wengine ambao wamo kwenye mapori ya Afrika ili wapate mahala pa kuja kupumzika lakini hawajali lolote kuhusu maslahi ya Afrika. Anasema hivi karibuni watatuzuia...
  9. JamiiForums Tanzania Update: Rais Magufuli atazikwa Machi 26, 2021

    Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli atazikwa nyumbani kwao Chato Machi 26, tofauti na tarehe iliyotajwa awali ambayo ilikuwa Machi 25. Mwili wa Rais Magufuli utaagwa na wananchi wa Dar, Machi 20 na 21 Uwanja wa Uhuru kabla ya kusafirishwa kwenda Dodoma ambapo...
  10. JamiiForums Tanzania Tumepoteza Magufuli, Jabari na Mwamba wa uchumi katika siasa za Afrika

    TUMEPOTEZA JABARI NA MWAMBA WA UCHUMI KATIKA SIASA ZA AFRIKA NA ELIUS NDABILA 0768239284 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemaliza kazi yake aliyoandaliwa kufanya hapa duniani. Kifo si hiari, ni lazima kwa kuwa vitabu vya dini vinatuasda kuwa kila mtu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si...
  11. JamiiForums Tanzania Magufuli baba wa Afrika?

    Dr John Joseph Pombe Magufuli hakuwa Shujaa wa Afrika. Kama alikuwa shujaa wa Afrika naomba kujibiwa maswali yafuatayo. Mosi; Rais Magufuli ametatua migogoro au kutatua matatizo ya Afrika kwa kiwango gani? Pili; Rais Magufuli amewahi kuhutubia mara ngapi Umoja wa Afrika kuhusu Afrika? Tatu...
  12. JamiiForums Tanzania Jose Chameleone: Hayati Magufuli hakuwa rais wa Tanzania tu bali rais wa Afrika mashariki

    Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli. Akiongea na kituo cha habari cha EFM Chameleon ameeleza kwamba:- Bofya hapa chini kutazama.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti na SADC iliyoleta Marais 8, Jumuiya ya Afrika Mashariki amekuja Rais Kenyatta pekee kumuaga Hayati Magufuli

    Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli. Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa. Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika Kusini, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Congo nk wakija kumuaga Hayati Magufuli ambaye alikuwa kiongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwaheri Magufuli: Haya ndiyo Mazingira ya Mikataba Baina ya Afrika na Wakoloni/ Weupe

    Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli. Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au kusema ngoja nisome tena mara ya pili. Au kusema uvute hata pumzi kidogo kwa kunywa maji, labda...
  15. JamiiForums Tanzania Leo tumeletewa tena Thamsanqa Jantjie mtafasiri feki kutoka Afrika Kusini

    Kama mnakumbuka mwaka 2013 kwenye kifo cha Mandela, serikali ya Afrika Kusini ilileta mtafasiri wa Lugha anaeitwa Thamsanqa Jantjie ambae alitia fora kwa ishara za lugha ambazo hazipo Duniani. Mtafasiri huyo aliletwa na chama tawala cha ANC kutafsiri lugha ya alama kwa viziwi ambapo alitafsiri...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. John P. Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, wala hakuogopa vigingi vya Mabeberu.

    Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Napenda nimshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi kwa kuendelea kuliongoza Taifa letu bado ninaamini Taifa letu lipo mikononi mwake Mungu. Mungu wetu aendelee kututia nguvu sisi kama taifa...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, hakuogopa vigingi vya Mabeberu

    Wana Jf Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Ninaposema Dr. Magufuri ni Nabii wa Africa aliyetumwa kuikomboa Africa mara ya pili ninamaanisha kuwa Kwa Yale mahubiri yake ya kutaka Africa tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zilizowahi kuongozwa na Viongozi Wakuu wanawake

    Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha Dkt John Magufuli hapo Machi 17. Rais Samia anakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi hiyo. Wafahamu wanawake wengine walioshika nyadhifa za juu kabisa katika nchi zao barani...
  19. JamiiForums Tanzania Mfahamu Silvie Kinigi, Waziri Mkuu na acting president wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki

    Sylvia Kinigi ndie mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu nchini Burundi na kwa Afrika Mashariki. Na 1993-1994 akapata kuwa acting president wa Jamhuri ya Burundi. Mama Samia Suluhu Hassan, anapata kuwa Rais wa pili mwanamke Afrika Mashariki. Wanawake wote Hawa wawili sio kuwa walipigiwa kura za...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 - 2021

    Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo. Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021. Mwaka Nchi Kiongozi Sababu 2021...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…