afrika

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wengi wa Afrika husalitiwa na inner circles na kisha kuuawa? Waafrika hatuaminiki?

    Ni jambo la kushangaza sana kuona wanandani wako wanakugeuka na kusuka mipango ya kukuua. Maana madaraka ya Afrika yanashangaza sana. Blaise Compaore alimgeuka mtu wake wa karibu kabisa Thomasa Isidore Sankara na kisha kumuua. Na yeye akachukua madaraka Mobutu Seseseko alimgeuka Patrice...
  3. JamiiForums Tanzania Michael Blackson mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani yupo real sana

    Huyu comedian mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani na kufanya kazi zake za sanaa Nchini Us pia ameshiriki filamu ya Coming to America 2, huwa ananifurahisha sana jinsi anavyopenda kwao Ghana anapenda kucheza miziki ya Afrika, vyakula vya nyumbani yeye ndio anakula hata akiwa marekan mara...
  4. JamiiForums Tanzania Aina ya Virusi vya Corona vya India na Uingereza vyagunduliwa Afrika Kusini

    Aina mpya ya Virusi vya COVID19 kutoka India na Uingereza imegunduliwa nchini Afrika Kusini, Wizara ya Afya imeeleza. Visa 11 vya maambukizi ya aina ya Virusi vya B.1.1.7 (Uingereza) na visa 4 vya B.1.617.2 (India) vimegunduliwa katika majimbo ya Gauteng na Kwazulu-Natal, na waathirika wamekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania na Kenya tukiendelea kutekenyana Uganda wao mbioni ku launch kinu cha nyuklia na kuwa nchi ya pili Afrika

    Habari wadau.! Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo nuklia hiyo itazalisha takribani 41,700Megawatts mpaka kufikia 2040. Uganda wameingia mkataba na...
  6. JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea rap song kali Afrika kama ya Father Nelly

    Nimesikiliza hip hop zooote Tanzania,hakuna rap kali kama hii ngoma ya Fr Nelly. Huwa naiskiza mara moja kwa wiki kuitoa kasoro bado sijafanikiwa huu mwaka wa 3.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Meli ya India yawasili Afrika Kusini na kile kirusi Baba lao

    Mabibi na mabwana kutokea Afrika Kusini, kuna habari za meli kuwasili huko ikiwa na mzigo wa hatari na wa kutosha kutokea India: https://www.enca.com/news/vessel-india-docked-durban-crew-tests-positive-covid-19 Huu umewasili kwenye meli. Tena bila shaka kabla ya kutoka India walipimwa dhidi...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ndio uchumi tajika hapa Afrika Mashariki. Hilo jambo halipingiki

    Yaani kampuni za Kenya zilizo Tanzania zinaajiri Malazy 51,000 huku kampuni za Tanzania zilizo Kenya zikiajiri Wakenya 2,000 only. Halafu bado wivu battalion bado wanataka Tanzania yao ishindane na Kenya kiuchumi. Haiwezekani kamwe. Uchumi wetu wa "kwenye makaratasi" ndio inayoajiri Malazy...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Akutana na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana leo na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Oluseguni Obasanjo. Taarifa zaidi kutolewa ======== Rais wa Jamhuri ya Muungano leo Mei 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani Tanzania hawapo hata kwenye 20 bora Afrika kwenye suala la ujenzi wa miundombinu

    Kuna majirani wanajua sana kujinadi, yaani makelele kila wakijenga chochote, sasa hapa taarifa za kitaalam ambazo huchuja uchafu wa makelele na kuonyesha hali kama ilivyo. The Africa Infrastructure Development Index (AIDI) is produced by the African Development Bank. The AIDI serves a number of...
  11. JamiiForums Tanzania Chaneli ya TVN kutokea Korea yaingia rasmi Afrika

    Habari zenu wakuu, kwa wale wapenzi wa korean dranas hii ni ya kwenu. Channel ya TVN kutokea Korea Yaingia Rasmi Africa. Wakorea ambao kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukiangalia series zao na wao wameamua kuleta version ya Africa ya Channeli ya TVN. Kama umeangalia series kama MR SUNSHINE...
  12. JamiiForums Tanzania Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

    SAFARI YA KUZAMIA AFRIKA YA KUSINI KWA NJIA ZA PANYA Sehemu ya kwanza. Utangulizi Mimi ni mtanzania mzaliwa wa Mbeya. Kwa sasa umri wangu ni wa kutosha kidogo kwa sababu nipo duniani tangu miaka ya 1980. Wakati nasoma shule ya msingi kwenye miaka ya 1990 hivi tulikuwa tunaimba nyimbo maarufu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inafanya mchezo gani barani Afrika kwa kuitaja China?

    Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na China barani Afrika, Marekani itaangalia zaidi maslahi ya Afrika, kitu ambacho kitaivutia zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

    Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Martha Koome mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu Afrika Mashariki

    Tume ya kupitisha jina la atakayekuwa Jaji Mkuu wa Kenya baada ya kuisha muda wa Jaji mstaafu David Maraga imepitsha jina la Jaji Martha Koome kuchukua nafasi hiyo. Koome anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla. Si haba, akina mama wanazidi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika wa “Ukanda Mmoja Njia Moja” wapaswa kulindwa sio kudhalilishwa

    Gazeti la Financial Times la Uingereza limetoa makala likilitilia mashaka Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” BRI na kusema uwekezaji wa China katika sekta ya miundombinu barani Afrika “unakaribia kukauka”. Makala hiyo pia imemnukuu afisa mmoja wa Afrika Kusini akisema nchi za Afrika...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China kupunguza mkopo kwa Afrika si picha kamili ya ushirikiano kati ya pande mbili

    Utafiti mpya uliofanywa na “Pendekezo la Utafiti kati ya China na Afrika” CARI la Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani umeonesha kuwa mwaka 2019, mikopo iliyotolewa na China kwa Afrika ilipungua kwa theluthi moja, kitu ambacho kinaashiria kuwa China imepunguza kwa kiasi kikubwa mikopo yake...
  18. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inajitahi sana lakini inafeli sana. Sasa Afrika, Ulaya na duniani watu wanakishangaa hicho chama

    Wakati ndani ya nchi wanasema wameonewa na kuibiwa kura kwa kupata mbunge mmoja wa kuchagulia kutoka wabunge mia na kenda awamu iliyopita na pia mgombea urais Tundu Lissu akiambulia kura chini ya asilimia kumi ya kura zote za urais. Hata hivyo baada ya aliyekuwa Rais wa Tanzania kufariki hayati...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Umoja wa Afrika kuhusu ulinzi wa Data binafsi za watu

    Ibara ya 8 ya makubaliano hayo imeweka malengo ambayo Watanzania wangenufaika nayo kama #Serikali ingekuwa imetia saini Moja ya lengo ni: Kila #Taifa lazima lihakikishe linatengeneza sheria kwa ajili ya kuimarisha #Haki za msingi za binadamu, uhuru wa raia ikiwemo ulinzi wa taarifa zao na kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Mchango wa Dkt. John Pombe Magufuli nchini Tanzania na Bara la Afrika kwa Ujumla

    MCHANGO WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI NCHINI TANZANIA NA BARA LA AFRIKA KWA UJUMLA. Dr. John Pombe Magufuli aliyehudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya Tano aliheshimika nchini Tanzania, Barani Afrika na Duniani kwa Ujumla kutokana na namna alivyosimama kidete kuhakikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…