afrika

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda Afrika Kusini, Zambia na Zimbabwe

    Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda South Africa, Zambia na Zimbabwe na kurejesha masharti ya karantini ya siku 7 kwa wote wanaotoka kwenye Nchi hizi baada ya kirusi kipya hatari cha corona kugundulika South Africa wiki iliyopita.
  2. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika kutotenganishwa kutokana na mshikamano na ushirikiano wao mzuri

    Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken alitembelea nchi tatu za Afrika, Kenya, Nigeria na Senegal. Katika ziara hiyo, alijaribu tena kuichafua matope China ili kuimarisha ushawishi wa Marekani barani Afrika, lakini China na Afrika haziwezi kutenganishwa kutokana na...
  3. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ramaphosa: Hakuna sababu za Kisayansi za kuweka marufuku ya kusafiri kwa nchi za Kusini mwa Afrika

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya Virusi vya Corona kuondoa vikwazo hivyo. Katika hotuba yenye urefu wa dakika 29, Rais Ramaphosa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Kirusi kipya kutokea Afrika Kusini

    Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki. "Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama." "Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini. Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Aina mpya, hatari zaidi, ya Kirusi cha Corona yagunduliwa Afrika Kusini

    Mamlaka nchini Afrika Kusini zimeripoti kuwepo kwa aina mpya ya Virusi vya Corona, B.1.1.529, ambavyo ni tofauti na aina zingine za virusi vinavyofahamika. Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Mlipuko nchini Afrika Kusini, Prof. Tulio de Oliveira amesema kuwa kirusi hicho kipya kina zaidi ya...
  6. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Tuwe wawazi; hivi kimuziki tunaweza kuwafikia watu wa Afrika Magharibi kweli?

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, twice is a coincidence and thrice is a pattern Ule ukanda wa Afrika Magharibi wana kitu cha ziada ambacho nadhani hakionekani lakini kipo tu. Ukifuatilia historia utatambua kwamba watu wenye asili ya ukanda ule ndiyo wanaotawala sehemu kubwa ya tasnia...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya nchi za Afrika

    Tanzania iko tayari kuzuia bidhaa za Kenya, Uganda nk, hivyo hivyo Kenya yuko tayari kuzuia bidhaa za Tanzania lakini nchi hizo haziko tayari kuzuia bidhaa za China. Yaani bora Mchina kuliko jirani yako? Roho za kiafrika za kutotaka jirani afanikiwe zinatumaliza yaani tuko tayari kujenga uchumi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa China barani Afrika watokana na ushirikiano wa dhati kati ya pande hizo mbili

    Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza duniani, mbele ya Marekani, mashirika ya kikanda, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Haya...
  9. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Startimes nyenzo muhimu katika kuendeleza na kuimarisha ushawishi wa taifa la China barani Afrika

    Tunaotumia kingamuzi cha startimes sasa tunajifunza lugha ya Kichina kupitia channel ya starswahili hongera kwa Wachina kutumia kampuni yao ya startimes kama jukwaa la kutangaza tamaduni zao pamoja na mafanikio yao. Mataifa shindani kama USA yameendelea kushangazwa na kuongeza kwa ushawishi wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Ushirikiano wa China na Afrika: Miaka 21 tangu kuanzishwa kwake

    Na Caroline Nassoro Huu ni mwaka wa 21 tangu Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) lilipoanzishwa. Katika kipindi hicho, mambo mengi yamefanyika na kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili za China na Afrika. Mkutano wa kwanza wa ngazi ya mawaziri ulifanyika mjini...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China yatajwa zaidi katika ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani barani Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Anthony Blinken, amemaliza ziara yake katika nchi tatu za Afrika, baada ya kutembelea Kenya, Nigeria na Senegal. Ziara ya Bw. Blinken inafanyika wakati Marekani inajaribu kuonyesha kuwa inarudi kwenye ulingo wa siasa za kimataifa kuhusu Afrika baada ya...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live From Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika Day 2: Prof. PLO Lumumba, Mhe. Dotto Biteko Ndani ya Nyumba!

    Wanabodi, Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  13. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Wanawake Barani Afrika watakiwa kuchangamkia Fursa za Uongozi

    Wanawake katika nchi za Afrika Mashariki wametakiwa kujiamini na kuchangamikia fursa za uongozi katika ngazi mbalimbali ili kuleta usawa, suala litakaloondoa dhana iliyojengeka kwamba baadhi ya vyadhfa ni Kwa ajili ya wanaume pekee. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya...
  14. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Inaaminika kuwa huu ndio upasuaji mgumu kuwahi kutokea Barani Afrika

    Halafu jamaa/mgonjwa anawacheka tu. Anajua hata wafanyeje hawamtoi
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zipo kwa ajili ya upinzani wa vyama kuliko mambo mengine

    Hili suala kiukweli nchi za Afrika zimejikita kutokomeza upinzani wa vyama kuliko vitu vingine. Poleni Uganda kwa matukio ya kigaidi. Nchi ya Uganda ni bora kupoteza pesa kwa ajili ya upinzani hata kutumia jeshi lakini kuliko kutafuta usalama wa yale yaliyotokea Jambo moja la Afrika ni kama...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utaalamu wa kufua vyuma ulianzia Afrika

    Did you know? Towns called Amuzu in Igbo land arose from ancient settlements of blacksmiths Awka clan is prominently known for their smithing prowess but they were not the only clan that excelled in smithing... The Agbaja clan before them excelled in smithing, it is even believed the skills...
  17. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Wawakilishi Kutoka Bara la Afrika

    1 Algeria 2 Morocco 3 Mafarao 4 DR Congo 5 Tunisia 6... 7... 8... 9... 10... (Algeria and Morocco) wawili hawa sina pressure nao hukoo Qatar, i know that watatuwakilisha vyema kabisa. kwangu mimi nawatambuwa kuwa ndiyo (Giants of Africa). Kwako mdau mwenzangu, nani unampa nafasi ya kusonga...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Wancuntong wawezesha wanavijiji wa mbali barani Afrika waungane na Dunia

    Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China ilifunga vipokezi vya televisheni vya kidijitali nyumbani kwake, na sasa anaweza kutazama TV ili kuelewa...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Barabara za kuinganisha Afrika zilivyopangwa

  20. L

    JamiiForums Tanzania Kuingia kwa majukwaa ya uuzaji wa mtandaoni ya China barani Afrika ni fursa mpya kwa biashara na uchumi

    Na Ronald Mutie Mwaka 2020 mwezi Mei, takriban tani 1.5 za kahawa ya Rwanda ziliuzwa ndani ya dakika moja tu wakati wa tukio la uuzaji wa moja kwa moja mtandaoni lililolenga kutangaza kahawa ya Rwanda kwenye soko na wateja wa China. Uuzaji huo ulikuwa umeandaliwa na kampuni kubwa zaidi...
Back
Top Bottom