As the oldest profession of physical deception is prostitution, the oldest profession of mental deception is religion.
If the Europeans and Arabs kept their opinions about their God to themselves, we will not be having Christianity and Islam in Africa.
But because you are now a christian or...
Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio South wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.
Wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na...
Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2.
I feel a sense of sympathy for him, as many Tanzanians are often hesitant to engage in debates like this. This fear can be attributed to several factors that...
Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata...
Wakuu nani aniafuatilia hii issue ya UAPS ? au kama kawaida yenu ndugu zangu ni mwendo wa kubaki gizani tu:)
Kwa wale mnaoamini eti UFOs hawafiki Africa, think again, proof hiyo hapo na nyingine kibao zipo online. Kwa wale mnaofuatilia mmeisikia documentary iitwayo The Age of Disclosure...
Nimesikia watu mbalimbali na hata viongozi wakubwa kabisa wakisema watanzania tufanye kila tuwezalo ili professor Janabi ashinde kinyan’anyiro cha uchaguzi wa mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa. Tufanye nini ili ashinde?
Kwa bahati mbaya tumezoea zile chaguzi ambapo watu wasio na sifa wanapigiwa...
1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue.
2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga Africa Union na sasa Nduta asile kitanzi huko Vietnam.
Katika miaka ya hivi karibuni, shirika la afya duniani (WHO) limekuwa na jukumu muhimu katika kushughulikia changamoto za afya zinazokabili nchi mbalimbali, hasa barani Afrika.
Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anatarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, na kuna uwezekano mkubwa kwamba atakuwa...
Richard Nii-Armah Quaye (Raia wa Ghana)mmiliki wa Bills Micro Credit au Quick Credit ambayo ni kampuni Baba ya OYA Microfinance amejinunulia private Jet na Buggati.
☝️ ☝️ ☝️ Akipokea ndege yake nchini Ghana.
☝️☝️☝️Post ikionesha maandalizi ya Bugatti yake kubebwa na ndege mpaka Ghana...
US Aid Cuts to Africa: A Looming Crisis or a Catalyst for Self-Reliance?
The landscape of international development in Africa has been significantly altered by recent decisions from the United States. An executive order issued by President Trump, followed by an announcement from Secretary of...
Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ?
Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili.
Je kuna siri gani hapa ?
Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
Utawala wa Trump unazingatia kulenga raia wa nchi hadi 43 kama sehemu ya marufuku mpya ya kusafiri kwenda Marekani, ambayo itakuwa pana zaidi kuliko vizuizi vilivyowekwa wakati wa muhula wa kwanza wa Rais Trump, kwa mujibu wa maafisa walioko karibu na suala hilo.
Soma Pia: Trump asimamisha...
Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende.
Hebu angalia kauki ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi ambaso ziko serious angefurushwa uwaziri mkuu palepale au kujiudhuru mwnyewe.
Waziri mkuu...
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
Bara la kupokea kila mgeni
Bara lenye rasilimali nyingi
Bara linalo heshimu na kunyenyekea ngozi nyeupe
Bara la kuana wenyewe kwa wenyewe
Bara lenye wajinga wengi
Bara lenye magonjwa yote duniani
Bara lenye miundombinu dunii mibovu
Bara linalo kopa kila kukicha
Bara lenye viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.