africa

  1. JamiiForums Tanzania Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya Africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini

    Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu . Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio...
  2. JamiiForums Tanzania Barani Africa: msimu huu makombe yote yatachukuliwa ugenini, mmoja kupigwa nje ndani

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani SAYUNI BOY
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa sehemu ya jopo la uongozi wa IDU, hakuharakishi viongozi Madikiteta Africa kufikishwa ICC?

    Miongoni mwa shughuli ambazo IDU huzifanya, ni pamoja na Kulaani, kuweka msimamo wa kisiasa, au kuhimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua, Na kazi ya Jumuia ya kimataifa, ni kufanya uchunguzi wa mambo maovu yanayofanywa na aidha serikali na ama kiongozi na kisha Umoja huo kutoa agizo la...
  4. JamiiForums Tanzania Dubai na South Africa magari ya bei mbaya used ni asilimia kubwa ni ya wizi

    Ukiona watu wanatembelea range usiogope ila muulize peleka kwa wakala wa range litengenezwe maana litakuwa na history. Nimeona bora kuwaletea hii mada kuna mikasa mingi ya wizi wa magari USA,wingereza na Europe na zote walalamikaji wadai magari mengi kuonekana dubai ndio kitovu cha soko...
  5. JamiiForums Tanzania Are you working to stop the spread of false information in Africa?

    Are you working to stop the spread of false information in Africa? Whether you're a working journalist, a student or a professional fact-checker, your commitment to facts deserves recognition. Enter the...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ilikuwa sahihi kuisadia ANC kuondokana na utawala wa makaburu Afrika Kusini? Tulifaidikaje?

    Kwa nini Tanzania tuliisaidia ANC kwa hali na mali kupambana na serikali ya makaburu Africa Kusini? Je Tanzania tulipoisaidia ANC dhidi ya utawala Makaburu tulikuwa sahihi kama nchi kuingilia mambo ya ndani ya nchi yao? Tulipata faida gani kama nchi kuisadia ANC kuwandoa makaburu walioleta...
  7. JamiiForums Tanzania Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

    Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali... Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wa mwisho kwa CCM: Achaneni na Tundu Lissu, mnavyozidi kudeal nae ndo mnavyozidi kuharakisha anguko lenu, East Africa Spring iko njiani.

    Tundu Lissu ni mjumbe wa Mungu kuja kufanya jambo moja tu Tanzania nalo ni kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya inayoweka mamlaka kweli kwa Wananchi na kujenga Mifumo imara ya kuwawajibisha Watendaji na Viongozi wanapokiuka Katiba na Sheria. Kwa alipo Tundu Lissu sasa, lolote mtakalojaribu...
  9. JamiiForums Tanzania Concerns About Electoral Integrity: Is WHO Africa Addressing Fraud in Janabi's Candidacy?

    The question I’m asking is: "Does WHO Africa not have electoral fraud to allow Janabi to win?" I raise this question because this candidate comes from a country that has a history of electoral malpractices and vote rigging. Electoral integrity is crucial for any democratic process. When a...
  10. JamiiForums Tanzania Trump na MAGA wanamshambulia Taylor Swift kawa kibonge! Wangefika bongo au South Africa wangeshangaa wazimie.

    Kwa wazungu wa Marekani Taylor Swift wa kulia anaonekana amekuwa kibonge na sio wa moto tena kama alivyokuwa kushoto! Sio ajabu Trump hataki kuja Africa maana huku "mizigo" ndio kipaumbele na inayohusudiwa, watu wanataka mwanamke mmoja awe kama Taylor watatu hivi.
  11. JamiiForums Tanzania Early Sexual Activity and Cervical Cancer Risk in Africa: Understanding the Complex Connection

    Early Sexual Activity and Cervical Cancer Risk in Africa: Understanding the Complex Connection The Alarming Reality of Cervical Cancer in Africa Cervical cancer stands as the most common cancer affecting women across Africa, leading both in incidence and mortality rates. This sobering reality...
  12. JamiiForums Tanzania AI ya Elon(Grok) yadai kulazimishwa na Elon kusema kuna mauaji ya kimbari ya makaburu Africa Kusini

    Grok kwa siku kadhaa zilizopita ilikuwa ikiambatanisha sentensi zinazungumzia mauaji ya kimbari ya watu weupe katika kila jibu lake hata katika mambo yasiyohusiana na jambo hilo!
  13. JamiiForums Tanzania JAMVI LA WANAWAKE: Mshaurini binti kayavaa na mwanaume wa South Africa

    Nimekopi meseji kama nilivyoipokea. ************ Dada shikamoo, Miaka 4 iliyopita niliolewa na mwanaume wa Kitanzania anayeishi South Africa. Nimezaa naye mtoto mmoja na nina ujauzito wa mtoto wetu wa pili. Huyu mwanaume alinikuta na mtoto mdogo wa miaka 2 ambaye baba yake alifariki kwa ajali...
  14. JamiiForums Tanzania United States of Africa - ndoto itakayotimia

    Salaam Afrika ,Salaam Wana na Binti wa mama Afrika,Enyi watu wake aliyewaridhia.ni ndoto ya kila mwafrika wa kweli mwenye maono ya ukombozi kuona waafrika wanakuwa kitu kimoja,wanakuwa taifa moja na wenye nia moja. Huu Uzi huenda ukawa ni upumbavu kwa wengi ila ninauandika kwa tafakuri na nia...
  15. JamiiForums Tanzania Baba wa Taifa(founding father) bora kuliko wote Africa

  16. JamiiForums Tanzania Hii ni coincidence ama mpango nchi zote za Africa zilizopo karibu na bara la Europe ni za Waarabu.

    Ukiangalia kwa haraka unaweza kuchukulia poa how come pale juu hakuna taifa lolote la Waafrika weusi? Kwa Nini chini mwa Sahara desert hakuna tena nchi ya kiaarabu? Niamini Mimi Kuna namna watu hawakutaka watu weusi wawe na direct access kwenye nchi za Europe.
  17. JamiiForums Tanzania Kuomba ufafanuzi kuhusu hii habari iliyopostiwa East Africa tv

    #HABARI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na Ukunga ifikapo mwezi Julai mwaka huu. Sangu ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Aprili 10, 2025 Mkoani...
  18. JamiiForums Tanzania Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  19. JamiiForums Tanzania Africa Magic Viewers Awards (MVCA) Tanganyika tumeangukia pua

    1. Sijaona awards wala msanii/ Sanaa toka Tanganyika kwenye MVCA. Kazi za sanaa mmeingiza siasa. Kimataifa mtapasikia Tu. 2. Kenya na Kiswahili chao cha kuunga wananyakua awards kama zote (Hata zile za Kiswahili Achilia Kiingereza ambacho hatukiwezi. **Pole Mrisho Moto, pole Doto Magari
  20. JamiiForums Tanzania Nini maana ya Nigeria kuwa na uchumi mkubwa Africa ikiwa raia wake milioni 90 hawana umeme?

    Nigeria ni mojawapo ya mataifa ya hovyo sana Africa, mzalishaji namba moja wa mafuta Africa raia wake milioni 90 hawana umeme, yani 40% ya watu wake bado wanaishi kwa vibatari!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…