Louis Farrakhan, kiongozi wa Taifa la Uislamu, amekuwa akizungumza mara kwa mara kuhusu Muammar Gaddafi, kiongozi wa zamani wa Libya, hasa katika muktadha wa kifo chake mnamo mwaka wa 2011. Maoni ya Farrakhan mara nyingi yanaakisi mtazamo wake kuhusu rangi, siasa, na jukumu la nguvu za magharibi...
Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.
Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura...
Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni, wanakimbia kwa mpangilio asubuhi na mapema, wakiandamana na askari waliobeba silaha. Kwa mtu asiye...
Habar
Ukiacha itikadi za kidini waarabu wametuzidi mbali sana sisi watu weusi hasa kweny maeneo haya
1.Elimu
2. Maendeleo
3.Uzalendo
4.Uthubutu
5.Teknolojia
6.Sayansi
7.Miundombinu
8.Afya na Tiba
9.Michezo
10.Kujitambua
11. Kipato
12.Kilimo
13.Usimamizi wa rasilimali
14.Sio wanafiki na waoga...
Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ?
Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni nchi za Mashariki ya kati za kiarabu na zilizopata ushawishi mkubwa wa utamaduni wa kiarabu kama...
Huyu jamaa anayritwa Ngugi wa Thiong'o kama walivyo activist wengi ambao nawaona fake, alikuwa akijinadi na kuitwa pia mkosoaji wa mabeberu, akijidai kukosoa mifumo ya elimu na lugha ya Kiingereza eti ni kutukuza mabeberu
Hadi akaamua kuandika kwa Kikuyu vitabu vyake badala ya English lengo eti...
1. Afrika ina utajiri mkubwa wa mitindo na tamaduni:
Kila nchi ina nguo za kipekee: Kitenge, Kente, Maasai Shuka, Shweshwe, na nyinginezo.
Tuna wabunifu wenye vipaji vikubwa kama Maxhosa (Afrika Kusini), Lisa Folawiyo (Nigeria), Anita Dongre, na wengine.
2. Tayari kuna nyota wakubwa wa...
Kama unabisha Fanya Utafiti utujuze taasisi gani iwe ya umma au NGO inaizidi CCM
1. CCM ina rasilimali kila Mkoa na Wilaya hadi kata
2. CCM ina Wanachama kila mtaa
3. CCM ina mbunge kila jimbo pale iliposhindwa kwa Kura imeweka wa viti maalum
4. CCM ina viwanja vikubwa vya michezo kila...
Teknolojia duni, imani za Mizimu na Mungu lakini magonjwa, umaskini na njaa bado zimetawala.
Bara limetawaliwa na mihemko kuliko akili. Bara ombaomba.
Sidhani kama Bara hili litakuja kujielewa.
Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
Haikuwa rahisi kuamiini YANGA imetolewa na mamelody kwa goli la dhuluma
NDUGU majirani wakajanna fedhehaa kubwaaa mpambane na hali zenu
Tukajipanmoyo kulalamikia lakini haikusaidia
Yt
SINDANO ikaingia kwa Amani
Jana kwa mapenzi MEMA sindano Ile Ile iliooingizwa na rubani yule yule refarii...
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .
Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini
Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani
SAYUNI BOY
Miongoni mwa shughuli ambazo IDU huzifanya, ni pamoja na Kulaani, kuweka msimamo wa kisiasa, au kuhimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua,
Na kazi ya Jumuia ya kimataifa, ni kufanya uchunguzi wa mambo maovu yanayofanywa na aidha serikali na ama kiongozi na kisha Umoja huo kutoa agizo la...
Ukiona watu wanatembelea range usiogope ila muulize peleka kwa wakala wa range litengenezwe maana litakuwa na history.
Nimeona bora kuwaletea hii mada kuna mikasa mingi ya wizi wa magari USA,wingereza na Europe na zote walalamikaji wadai magari mengi kuonekana dubai ndio kitovu cha soko...
Are you working to stop the spread of false information in Africa? Whether you're a working journalist, a student or a professional fact-checker, your commitment to facts deserves recognition.
Enter the...
Kwa nini Tanzania tuliisaidia ANC kwa hali na mali kupambana na serikali ya makaburu Africa Kusini?
Je Tanzania tulipoisaidia ANC dhidi ya utawala Makaburu tulikuwa sahihi kama nchi kuingilia mambo ya ndani ya nchi yao?
Tulipata faida gani kama nchi kuisadia ANC kuwandoa makaburu walioleta...
Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.