act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Awamu ya 6 ya Rais Samia Suluhu: Ni upi mustakabali wa 'wanasiasa pendwa' wa Hayati Magufuli?

    Kila serikali mpya inapoingia madarakani inakuwa na mtaji wake. Huo ni msemo maarufu wa wataalamu wa sayansi ya siasa na utawala bora kote duniani. Kwamba utawala mpya unapoingia madarakani unapenda kufanya kazi na aina ya viongozi unaowataka iwe kwa kuibua wapya au kuchagua miongoni mwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo na CHADEMA, achananeni na dhana ya ukuu/ukubwa miongoni mwa vyama vya upinzani nchini

    Siku chache zilizopita, niliongelea swala la kuwataka CHADEMA kujiepusha na matumizi ya neno "chama kikuu" cha upinzani nchini kwasababu mbalimbali mojawapo ni katika kuimarisha upinzani nchini na kuondoa inferiority complex miongoni mwa vyama vingine vya upinzani. Katika dhana hiyo hiyo ya...
  3. JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yatoa masharti Uchaguzi Mdogo Konde

    CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde hadi watumishi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), waliohusika katika uchaguzi uliopita watakapowajibishwa. Akisoma maazimio ya chama katika eneo la Konde Pemba wakati wa ziara maalum ya viongozi wa ACT-Wazalendo...
  4. JamiiForums Tanzania Kipi chama kikuu cha upinzani Tanzania kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA?

    Huo utata lazima umalizwe sasa. ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani? Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
  5. JamiiForums Tanzania Utabiri: Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar haitofika Oktoba 2021

    Kwa matamko na kauli zinazoendelea kutoka ACT Wazalendo na ukilinganisha na tabia ya kiburi ya CCM naona kabisa ndani ya siku sitini kila moja atabeba chake huko Unguja. ACT Wazalendo wakikaa kikao kwa vyovyote vile watamtaka Mwinyi ajieleze na kwa uCCM ulivyo, wakina Mwinyi watawabeza ndipo...
  6. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo mlishiriki kubariki dhuluma ya uchaguzi uliopita; mshirika wenu anawaonesha rangi yake sasa, vumilieni

    Maandiko yalikuwa ukutani, wakayapuuza. Mazingira ya kisiasa , Vyombo vya dola, tume ya uchaguzi, sheria n.k vyote vilikuwa si rafiki sawa na hapo awtu ali lakini ACT Wazalendo walichagua kushiriki kubariki uchaguzi uliyopita na kuwapa CCM uhalali ambao waliuhitaji sana,wakati ACT wote...
  7. JamiiForums Tanzania Upi Mustakabali wa ACT-Wazalendo Kwenye Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania? =========== Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo anaruka kama ndege lakini ni mamalia. Kwa mujibu wa wataalamu, huyu ndiye mamalia pekee kwenye sayari yetu...
  8. JamiiForums Tanzania Chama Kikuu cha Upinzani nchini ni ACT- Wazalendo siyo CHADEMA

    Habari. Ili kuweka mambo sawa kuhusiana na Siasa za nchi yetu, ifahamike kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ACT- Wazalendo inayoongozwa na Zito Kabwe na siyo CHADEMA inayoongozwa na Freeman Mbowe. Bila kujua wafuasi wengi wa CHADEMA wamekuwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Jafari Kubecha aitaka ACT Wazalendo kuteua vijana makini

    Na Mwandishi wetu, Dodoma Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm Nec kupitia vijana Jaffari Kubecha amekitaja chama cha Act Wazalendo kiteue watendaji vijana makini wenye maono, upeo na kufanya upambanuzi katika kujadili na kujibu hoja za kisiasa kwa uyakinifu bila kuingilia mambo ambayo aidha...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT - Wazalendo kilianzishwa na watu watatu tu; Mimi, Kitila Mkumbo na Mwanaharakati mmoja wa kike

    Akiongea mapema leo asubuhi katika kipindi cha Joto Kali la asubuhi kinachorushwa na vyombo vya habari vya TVE na Efm Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, ameongea mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na ameichambua bajeti kuu ya Serikali iliyowasilishwa week iliyopita Bungeni. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo- mnapatikana wapi ukiacha kwenye mitandao ya Mh. Zitto

    Leo nimekutana na mwajiriwa na taasisi ya Banki Kuu ya Tanzania akiwa amechanganyikiwa. Kilicho mchanganya ni kitu cha ajabu sana. Aliniambia kesho 13.06.2021 wana ufunguzi wa jengo lao jipya jijini Mwanza. Kwa vile Banki Kuu ya Tanzania ni ya watanzania wote bila kujali tofauti zao- alikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yapuliza kipenga uchaguzi mdogo jimbo la Konde na kata 6 Tanzania bara

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Jimbo la Konde, Micheweni, Kaskazini Pemba na Kata sita za Tanzania Bara.
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa chama amuandikia barua Rais Samia

    Mapendekezo ya ACT Wazalendo Kwa Rais Samia Suluh Hassan ili kuzifanya chaguzi kuwa za ushindani, huru na zenye uwanja sawa kwa vyama vyote vinavyoshiriki, tunaleta kwako mapendekezo yafuatayo; 1. Uanzishe mchakato wa kuifanya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kufanya shughuli zake kwa Uhuru...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Laana ya mzee Membe itaendelea kumtafuna Zitto Kabwe hadi ACT wazalendo itakapokufa

    Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa. Kwa sasa Zitto Kabwe anafanana na Augustino Lyatonga Mrema kwa kila kitu katika medani za siasa. Laana ya...
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa Rasmi ya Chama cha ACT Wazalendo Juu ya Chaguzi za Marudio

    Taarifa Kwa Vyombo vya Habari UZOEFU WA ACT WAZALENDO KATIKA KUSHIRIKI CHAGUZI ZA MARUDIO ZA 16 MEI 2021 Chama cha ACT Wazalendo kilishiriki katika chaguzi ndogo za marudio katika Majimbo ya Muhambwe na Buhigwe na Kata 5 kati ya Kata 17 zilizokuwa zinachagua Madiwani. Tuliamua kushiriki katika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania ACT wazalendo ni imara Zanzibar huku Tanganyika afadhali ya Chadema!

    Zitto Kabwe amesema wanaoibeza ACT wazalendo kushiriki uchaguzi mdogo Kigoma ni Washamba. Mimi nadhani Zitto Kabwe ndio mshamba kwa sababu anadhani ACT wazalendo ya Zanzibar ndio hii ya Tanganyika. Chadema ni bora zaidi mara 10 kuliko ACT wazalendo kwa siasa za Tanganyika. Zitto Kabwe ana...
  17. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ''awashukia'' vikali wanaozodoa ACT-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi mdogo Kigoma

    Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba. Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi. Maelezo haya...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali imefuta pia adhabu ya 10% inayotozwa na Bodi ya Mikopo kwa wanaochelewa kulipa deni

    Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako leo Bungeni tarehe 4 Mei 2021. Ameiagiza Bodi ya mikopo elimu ya juu kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya mkopo inayotozwa na kwa wanafaika wa mikopo elimu ya juu wanaochelewa kulipa mikopo hiyo baada ya miaka miwili kupita tangu kuhitimu kwao chuo. Kwaniaba ya...
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Othman Masoud awataka wananchi wa mkoa wa Kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili Serikali ipambane kuleta maendeleo

    Makamu wa kwanza wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud, amewataka wananchi wa mkoa wa kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili kutoa fursa kwa serikali kupambana katika kuleta maendeleo. Makamu wa kwanza ameyasema hayo mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea...
  20. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Yamtaka CAG Kukagua Fedha za Muungano

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) afanye ukaguzi maalum wa Akaunti ya Pamoja ya Fedha za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni fungamano baina ya nchi mbili huru, Tanganyika na Zanzibar, zilizoungana na kuweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…