Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
ACT-Wazalendo na Chadema, wekeni Kando Ubinafsi. Muungane, ACT isimamishe mgombea rais Zanzibar ambaye tunashauri CHADEMA imuunge mkono, na Bara CHADEMA isimamishe mgombea ambaye ACT wazalendo itamuunga mkono. Hii ndio njia pekee ya kumpa CCM kipigo cha karne.
Vinginevyo matokeo yatakuwa ni...
Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali...
ACT wamechangia shilingi milioni mbili ambazo zimewasilishwa na Zitto.
Binafsi nawashukuru na kuwapongeza sana:
Tahadhari:Chama cha kijani nacho ili kujisafisha mbele ya umma na ulimwengu,msishangae kuwaona wakiwasilisha mchango wao kama chama au baadhi ya viongozi wa chama hicho...
Kwa mtazamo wangu,mwaliko wa baadhi ya vyama siasa kwenda Ikulu ulikuwa ni mpango mkakati wa kuwagawa wapinzani na hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo lengo likiwa ni kuwafanya wasiaminiane na pia ili waje wagawane kura.
ACT wamealikwa sambamba na vyama vingine ambavyo baada ya kikao cha huko Ikulu...
Mshauri mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amemkaribisha katika chama hicho aliyekuwa mwanachama wa CCM, Bernard Membe lakini akimuonya asiwe na masharti.
Maalim amtoa kauli hiyo siku chache baada ya Membe katika mahojiano na Mwananchi kudai kuwa alifukuzwa CCM kutokana...
Aliyekuwa kada wa muda mrefu wa Chama Cha Mapinduzi, Waziri wa Mambo ya Nje, Kachero mbobezi kama anavyoitwa na wapambe wake, Ndugu Bernard Membe anatazamiwa kujiunga na Chama Cha ACT-Wazalendo pindi chama hicho kitakapofanya uchaguzi wa ndani kuchagua viongozi wakuu wa chama hicho.
Chama...
Hofu hiyo inatokana na kile alichokiita mfululizo wa vitisho vilivyotolewa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hofu hiyo ya Zitto imeibuka baada ya Kiongozi Mkuu huyo ACT Wazalendo kuandika barua kwa Benki ya Dunia (WB) kuitaka kusitisha mkopo wa Dola za Marekani milioni 500...
Kwenye ukurasa wake wa Twitter Maalim Seif ameandika hivi punde:
"Kufuatia kutangazwa kuanza kwa Uchaguzi ndani ya Chama cha @ACTwazalendo Ngazi ya Taifa leo nimeamua kutumia haki yangu ya kikatiba kuchukua fomu kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa. Nilikabidhiwa fomu na Katibu Mkuu...
Wanabodi,
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani!. Hii karma wakati wa kuhukumu, haina huruma kwa sababu hukumu zake ni za haki, unaweza kulipa mema, au kupigwa na mapigo ya kufidia uovu!.
Karma ni powers of 'cause and effects' ambapo...
Yale yaliyofichuliwa ndani ya CHADEMA sasa yanajidhihiri kwatika namna ifananayo ndani ya ACT-Tanzania. Kuna mgogoro mkali unafukuta hasa kuhusu uongozi. Wahusika mbalimbali wanaojiita Kamati Kuu, wenyeviti na nafasi nyingine wanatokeza kila kukicha wakidai kufanya vikao halali na kutoa maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.