Search results

  1. T

    Ujumbe Mahsusi kwa KMK

    Salam Dkt. Kusiluka, Tafadhali naomba uwepo MWONGOZO wa kuwatumia wastaafu kama watu binafsi kwenye mambo ya serikali, la kama wana jambo au maoni yoyote mazuri kwa nchi washauriwe kuanzisha TAASISI zao kama alivyofanya Mzee Ludovick Utto kwa kuanzisha Taasisi ya WAJIBU. Ili serikali au nchi...
  2. T

    Tangazo la kujiunga JKT kwa mujibu wa sheria 2023

    Wanabodi na wapiga kura wenzangu Nimeguswa na kushangazwa niliposoma tangazo kutoka kwa Mkuu wa JKT akitoa maelezo kwa vijana watakaojiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2023..maana yangu ni njema, kutaka ufafanuzi kwa jambo hili kulingana na maelezo yaliyotolewa. Inakuwaje serikali inashindwa...
  3. T

    Mnyonge Mnyongeni, haki yake mpeni: Waziri Mbarawa alifanya kazi kubwa wakati wake!

    Wiki hii Rais Magufuli amekuwa anafungua miradi ya maji kutoka ziwa victoria, juzi jana na leo yuko Tabora..ni jambo la kweli kwamba kufikisha maji haya Tabora ni mafanikio makubwa kwa historia ya nchi yetu. Hata hivyo, kuna jambo hapa halipendezi, waziri ambaye alisimamia miradi hii hata kama...
  4. T

    Waziri Makame Mbarawa ni halali kuteuliwa tena Ubunge na Uwaziri?

    Heshima kwenu Wanabodi, Jamani naomba mnisaidie, kwa nini Prof. Mbarawa ameteuliwa ubunge na waziri tena, binafsi toka alivyoteuliwa mara ya kwanza sijaona tija yoyote au mchango wowote maalum kutete uteuzi wake.Lakini wote alioteuliwa nao kipindi kilichopita wamerudi bungeni na hata kuteuliwa...
  5. T

    Waacheni watu wa igunga wataamua wenyewe

    Siafiki michango mingi iliyotolewa hapa JF baada ya rostam kuamua kujiuzuru ubunge wa lgunga..nadhani ni vyema watu wengine wasaidie watu wa lgunga kwanzakubaini na kuainisha ajenda za maendeleo kuwatoa hapo walipo, then ndio wafikiri juu ya nani anaweza kuwaongoza angalau kupiga hatua mbili...
  6. T

    Rostam anastahili miaka mingine 5 ya ubunge!

    national examinations council of tanzania csee 2009 examination results s0713 igunga secondary school div-i = 0 div-ii = 2 div-iii = 16 div-iv = 64 fld = 37
  7. T

    rostam anastahili miaka mingine 5 ya ubunge!

    national examinations council of tanzania csee 2009 examination results s0713 igunga secondary school div-i = 0 div-ii = 2 div-iii = 16 div-iv = 64 fld = 37 cno sex candidate name aggt div detailed subjects s0713/0001 f adelina morice 31 iv civ-d...
  8. T

    meditation

    Re: Meditation No. 436 Lord Ashtar It is I, Ashtar, with you once again. We have been watching your progress during this last meditation and happy to report that many of you have greatly lightened up your personal grids. Others of you are having a more difficult time; it has indeed been a...
  9. T

    Ufisadi umeifanya Dar isiwe kitovu cha mabadiliko

    Mwandishi Wetu Oktoba 21, 2009 RAFIKI yangu mmoja aliwahi kusema kuwa ufisadi ukikoma nchini "tutaandamana". Alikuwa anawazungumzia watu wote waliolifanya jiji la Dar es Salaam kuwa maskani yao na makazi yao ya kudumu au ya muda mrefu. Wakazi hao ni kuanzia Rais Kikwete, mawaziri wake...
  10. T

    Rostam afiwa, tangazo la msiba ni utata mtupu!

    Nimeshangaa kusoma kwenye gazeti la Nipashe la jana front page, kuna tangazo la rostam kufiwa na ndugu yake wa karibu, IPP media wameanza lini kutangaza habari za misiba ya watu, tena ikiwa na habari zisizokamilika, 1.Hakuna jina la marehemu 2.Sababu za kifo hazijaelezwa 3. Hakuna...
  11. T

    Rostam Aziz Kung'atuka!

    Habari za kuaminika kutoka Igunga zinasema, katika hali ya kutatanisha mbunge wa Igunga bw. rostam aziz ambaye anafanya ziara jimboni kwake, amesikika akisema muda si mrefu atang'atuka kwenye siasa. Akifanya mikutano ya hadhara katika sehemu mbali mbali za Igunga, amerudia ujumbe wa...
Back
Top Bottom