Waacheni watu wa igunga wataamua wenyewe

TrueVoter

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
2,193
1,770
Siafiki michango mingi iliyotolewa hapa JF baada ya rostam kuamua kujiuzuru ubunge wa lgunga..nadhani ni vyema watu wengine wasaidie watu wa lgunga kwanzakubaini na kuainisha ajenda za maendeleo kuwatoa hapo walipo, then ndio wafikiri juu ya nani anaweza kuwaongoza angalau kupiga hatua mbili tatu za maendeleo..tuache tusiongelee majina,jinsia na matukio! hebu tujaribu kuwa wajenzi wazuri wa nchi yetuwatu wa lgunga!wana nafasi ya kurekebisha dosari sasa!
 
kitendo cha wanaume wazima kulia na kuzimia...! HAKIKA IGUNGA INAHITAJI KUSAIDIWA...! shame on u! dume zima linazimia...mkeo atakufikiriaje....?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom