Search results

  1. P

    Wataalam wa madishi tupeane ramani.

    Wazee wenzangu wa kufunga madishi mnapataje michongo hapa mjini dar es salam. Njaa imekuwa kali kwangu tangu nimefika mjini hii fani sijafanikiwa kuifanyia kazi.
  2. P

    Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

    Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi. Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga. Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
  3. P

    Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

    Siku ya leo palikucha sina ramani na sielewi natoboaje, nikaona ngoja nizame viwandani. Nikapiga moja moja mpaka ubungo garage kiwanda cha sabuni cha mo nikakuta raia kiasi nikasubiri nje, watu wakaanza kuchaguliwa wale wakongwe na wapya wachache, tuliobaki tukakosa. Nikona fresh sio zali...
  4. P

    Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

    Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment. Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika. So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
  5. P

    Mazee,kukaza mashangazi Raha Sana.

    Iko hivi,hili shangazi langu limenipeleza miaka 13. Tangu nianze kulipelekea Moto NI miaka takribani miwili.juzi Kati limenipanga Lina mimba,nikamuuliza tunafanyaje akajibu ngoja nitafute lichomoe sababu hataki kuzaa.ingekuwa mwanafunzi hapa kiwewe nawaza mwaga Moto so watoto wadogo...
  6. P

    Huu upweke utakuwa ugonjwa napoendea, natafuta mchumba wa kike

    Kama kichwa kinavyojielezea, mwakani Mungu akijalia nitatimiza miaka 27(full-adult man). Ila itakubidi unielewe kama nilivyo mfukoni naunga unga tu maisha pamoja na kujaaliwa kadegree kutoka kile chuo cha taifa kwa sifa.
  7. P

    Kesho naenda kupima UKIMWI

    Nimekaa kama mwaka na miezi kadhaa baada ya kugegeda binti mmoja mtaani hapa, tatizo la huyu binti ana kashfa ana ngoma ila nilipiga hvyo hivyo tena kavu kavu, nataka nikavunje ukimya kesho. Sehemu gani ambayo ipo vizuri kwa vipimo?
  8. P

    Men only (inahusu wanaume)

    HESHIMA PESA, NDEVU HATA MBUZI ANAZO. Sio nia yangu kuponda au kusolola mtu kumdogofisha au kufanya ajiskie mnyonge. Ila haya mambo tusipoyasikia toka kwenye vinywa vya watumishi wa Mungu haitaleta uzito. Kuna wanaume wengi ambao sasa inabidi kusema bila kuficha kuwa wanatia aibu. Hakuna kitu...
  9. P

    Inawahusu wanawake (Ujumbe kutoka kwa Mchungaj wangu wa kiroho)

    LADIES ONLY. (INAHUSU WANAWAKE) Najua sio wote mtapenda ninachoandika leo lakini kwa watakao fanyia kazi haya itakuwa msaada kwao na punde mtanipigia simu na kunijia inbox kushukuru kwa ujumbe huu. Nimekuwa nikipokea simu nyingi na message za wanawake kutoka kila kona Mijini na vijijini ambapo...
  10. P

    Kwaheri UDSM

    maisha ya chuo nasupport ndogo ya mzazi,nyakati zimekuwa ngumu sana nimeamua kuachana na chuo rasmi, inaumiza lakini hakuna jinsi siwezi fahamu kipi kitatoke baada ya hapa cha msingi kuendelea kupigana, as they say life begin after school.namimi naanza maisha ya mtaa rasmi. bye bye udsm.
  11. P

    msaada

    kwa anayefahamu kampuni yenye good sales training program
  12. P

    msaada

    nimechaguliwa UDOM mwaka huu nimepewa na mkopo ila coz sijaipenda nimeshafanya na usaili nimelipa na baadh ya fees niliyohitaji kuchangia ila nataka niachane na chuo je mwakani application itakubali ? na mkopo nitapata?
  13. P

    msaada

    nimechaguliwa UDOM nimeshafanya na usajili nimelipa na kiasi nachohtaji kuchangia ila nataka niachane na chuo nifanye application tena mwakani je inawezekana? mkopo naweza pewa kwa mara ya pili?
  14. P

    msaada

    nimechaguliwa UDOM nimeshafanya na usajili nimelipa na kiasi nachohtaji kuchangia ila nataka niachane na chuo mwakani je inawezekana? mkopo naweza pewa kwa mara ya pili?
  15. P

    Kwa anayefahamu anihabarishe

    Kuna coz ya textile design and technology nimechaguliwa udsm ila naona kama ni ufund cherehan nilichotaget ni mkopo na sio coz
  16. P

    Madokta mpo wapi?

    Kutokwa na ute mzito kwenye uume wakati wa haja kubwa je ni tatizo?
Back
Top Bottom