Madokta mpo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madokta mpo wapi?

Discussion in 'JF Doctor' started by Koromeo, May 28, 2012.

 1. K

  Koromeo Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Kutokwa na ute mzito kwenye uume wakati wa haja kubwa je ni tatizo?
   
 2. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,278
  Likes Received: 8,362
  Trophy Points: 280
  duh kweli kwa hili ma-Dr. wanahitajika tena haraka.i hope they are on way.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Lol! Hapa anahitajika urologist akisaidiwa na sheikh ama padri.
   
 4. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Inawezekana hujapata siku nyingi
   
 5. Z

  Ziege liebe Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iyo, ni std.
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  @Koromeo Hiyo inaitwa Madhii sio Tatizo ni kwa sababu hujafanya mapenzi siku nyingi. Kuna watu wengine huku wanatokwa kama wewe ila wakati wanapokuwa wanapokuwa wana kojoa inatoka hiyo inaitwa Madhii usiogope ni kawaida tu . Je wewe unaye mchumba ? au umeowa?
   
 7. K

  Koromeo Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Sina mchumba wala sijaoa asante sana mzizi mkavu
   
Loading...