msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Koromeo, Oct 24, 2012.

 1. K

  Koromeo Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  nimechaguliwa UDOM nimeshafanya na usajili nimelipa na kiasi nachohtaji kuchangia ila nataka niachane na chuo nifanye application tena mwakani je inawezekana? mkopo naweza pewa kwa mara ya pili?
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Subiria wadau waje kijana na mambo ya alam hatuhitaji hapa JF!
  Hata mpaka kesho utapata majibu mazuri tu!
   
Loading...