Search results

  1. rakeyescarl

    Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
  2. rakeyescarl

    Vyumba 2, vinapangishwa Tandika Magorofani

    *Kuna maji na umeme. * Madirisha makubwa na vyumba ni vikubwa. *Viko mtaani, dakika 5 kwenda kituo cha transfoma na usalama mkubwa. *Bafu na choo viko ndani ya nyumba. *Wapangaji 2 tu. *Kodi 49,000 kwa chumba 1. *Kama una maswali ya ziada tafadhali inbox nitakujibu.
  3. rakeyescarl

    Laki 4 zawadi kwa Dell Laptop iliyopotea 14.March

    Salaam wana JF! ****** Nimepoteza/kuibiwa laptop bag ikiwa na laptop aina ya Dell na external hard disk kwenye bus la Abood, j4 tarehe 14. March nikiwa safarini usiku, Morogoro=> Dar. Zawadi ya TZS 400,000 Itatolewa kwa kupata angalau hiyo hard drive tu, yenye taarifa zinazohusu afya ya...
  4. rakeyescarl

    Vegetable and Fruit Exporter to UAE-needed!

    Heshima wakuu! Naomba na natafuta exporter anayepeleka au aliyewahi kupeleka matunda na mboga kutoka Tanzania kwenda UAE,nimepata soko nataka kushirikiana nae. Napatikana kwa email ^ rakeyuae@gmail.com Natanguliza shukurani.
  5. rakeyescarl

    Nyumba inauzwa 70Million-Dar Es Salaam.

    Ipo karibu na Kampala I. University- dakika 5 kwa kutembea. Ina Umeme, wapangaji na documents za umiliki.Piga simu 0712173615 au katabazi@hotmail.com,naiuza mwenyewe si dalali.
  6. rakeyescarl

    House4Rent Mtwara! Nyumba ya kupanga inahitajika

    Salaam ndugu zangu wana JF labda zaidi wa Mtwara! Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses . Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa Lodge/Guest house naweza kuichukua tutakubaliana na mwenye nyumba. Mawasiliano...
  7. rakeyescarl

    Mtwara Nyumba ya kupanga inahitajika

    Salaam ndugu zangu wana JF! Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses . Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa Lodge/Guest house naweza kuichukua tutakubaliana na mwenye nyumba. Mawasiliano katabazi@hotmail.com au kupitia hapa mimi...
  8. rakeyescarl

    Unaishi New York,US?

    Natanguliza salaam wakuu, Ndugu naomba mwana JF yeyote anayeishi New York nimuombe kufanya nae assignment/info ya muda mfupi. +1-202-790-8514 au PM. Ahsante na natanguliza shukurani. Rakey.
  9. rakeyescarl

    Ninaomba mwenye wimbo wa kuitangaza Tanzania

    Habari Ninaomba mwenye wimbo wa kuitangaza Tanzania aniwekee hapa ili niweze kuu download. Haswa kuna ambao niliona kwenye video wanamuziki wa kike wamevaa nguo zenye bendera ya Tanzania. Wimbo wa Taifa ninao. Natanguliza shukurani. msaada tafadhali
  10. rakeyescarl

    Nanunua gari isiyozidi TZS 5m

    Habari Wakuu, nahitaji kunnua gari(saloo car) isiyozidi millioni 5 tu. **Toyota Cami,Daihatsu Terios,Nissan,Corrola,Corona,carina au Suzuki 1)Iwe na engine nzuri,shock ups,battery,indicators,brake system na body viwe vizima 2)Isiwe na matatizo yoyote ya kiufundi 3)registration number kwangu si...
  11. rakeyescarl

    Nauza 69 elfu tu Huawei 330 haina shida

    Haina shida ,nimeamua kuiza. Ofa hii mwisho 10.December.2014
  12. rakeyescarl

    Bidhaa zipi naweza kusafirisha kutoka China kuja Tanzania?

    Wakuu habari za biashara, Naomba kujua kama nina dola elfu kumi ni bidhaa zipi naweza kupeleka Tanzania kutokea China kwa njia yoyote ni sawa hata kwa ndege. Kiwango cha faida nahitaji kama net=9%,ikiwezekana. Kwangu ni rahisi kwa sababu nina mtu ambaye yuko pale. Natanguliza shukurani.
  13. rakeyescarl

    Nitawezaje kununua Zambian local domain-msada.

    Salaam Wandugu. Je kama naishi nje ya Zambia, nawezaje kununua Zambian local domain eg. zaleo.co.zm? kama sio RESIDENT kwa sasa. Natanguliza shukurani. Rakey. rakeyescarl@yahoo.ie (not.COM)
  14. rakeyescarl

    Kiwanja cha biashara kilichopo mwambani beach tanga

    Kiwanja cha biashara kilichopo mwambani beach tanga chenye ukubwa wa mita za mraba 11060 kina hati miliki ya miaka 99 bei nafuu sana wote mnakaribiswa mobile; 0652-915837
  15. rakeyescarl

    Kiwanja cha biashara kilichopo mwambani beach tanga

    Kiwanja cha biashara kilichopo mwambani beach tanga chenye ukubwa mita za mraba 11060 kina hati miliki ya miaka 99 bei nafuu sana wote mnakaribiswa. MOBILE; 0652-915837
  16. rakeyescarl

    Unamiliki gari nchini TZ?

    Salaam wakuu, Magari yamekuwa gharama sana kuwa nayo,lakini ni jambo la kusikitisha, mtu bora akuibie kwa njia nyingine na si kukuibia na kuliharibu gari lako. Janga hili nimeona niwaeleze,kila mtu afuatilie kivyake.Kumbe ukiwekewa mafuta yaliyochanganya na maji au kitu kingine,gari ikapata...
  17. rakeyescarl

    paediatricians au wazazi wa watoto wenye miaka6 au zaidi naomba msaada

    Ndugu zangu salama? Naomba kujua kama nina mtoto wa miaka 6. 1)Naweza kupata wapi utaalamu wa kumfanya kama watoto wengine awe na hamu ya kijisomea,bila vitisho.eg kwenye bus akiwa na kitabu akitoe mwenyewe ajisomee?Nahisi ndio inaitwa self motivation. 2)Kuna wakati nilifikiri ana matatizo ya...
  18. rakeyescarl

    Nahitaji mkopo wa TZS 3.5M naweka gari ya 7M,kwa 10% kwa mwezi

    WAKUU TAYARI NIMEFANIKIWA -ASANTENI! Salaama wakuu, nahitaji mkopo wa TZS 3.5M naweka gari ya 7M,kwa 10% kwa mwezi. Nazihitaji kwa miezi 2 tu. Naomba mnishauri wapi naweza kuzipata. Rakey
  19. rakeyescarl

    660 cc Daihatsu Terios Kid in DAR. 4.95M TZS only

    It is in bonded ware house,buyer to pay for the duty. DAIHATSU TERIOS KID CUSTOM S EDITION/Petrol/Black color/5speed manual transmission 5door, 4seater/Mileage : 102,000km. I have to sell it to clear another one,this price is 1.5M less of what I paid in Japan. Very economical -fuel...
  20. rakeyescarl

    Cape Town-wakuu kuna mwana JF huko?natafuta Tour company ya uhakika!

    Wakuu heshima mbele! Natafuta tour company ambayo inaweza kusaidia mtu akapumzike huko, kupumzika kwa gharama ambayo ni nafuu(reasonable) na iwe sehemu yenye security au hata kama kuna mwana JF anayejua aliyepo dunia nyingine,si lazima iwe hotel hata kama ni nyumba ambayo iko kwenye secured area...
Back
Top Bottom