rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Salaam ndugu zangu wana JF labda zaidi wa Mtwara!
Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses .
Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa Lodge/Guest house naweza kuichukua tutakubaliana na mwenye nyumba.
Mawasiliano katabazi@hotmail.com au kupitia hapa mimi nitakupigia simu au njia utakayonieleza.
Ahsante.
Rakey