Laki 4 zawadi kwa Dell Laptop iliyopotea 14.March

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
147
Salaam wana JF!
******
Nimepoteza/kuibiwa laptop bag ikiwa na laptop aina ya Dell na external hard disk kwenye bus la Abood, j4 tarehe 14. March nikiwa safarini usiku, Morogoro=> Dar.

Zawadi ya TZS 400,000 Itatolewa kwa kupata angalau hiyo hard drive tu, yenye taarifa zinazohusu afya ya mTanzania mmoja au mwingine.

Mwenye taarifa au njia ya kunisaidia tafadhali anitumie PM au anieleze njia yoyote ya kuwasiliana.

Natanguliza shukurani.

rakeyescarl@yahoo.ie

Dr. BK
 
Mwana ongeza dau bhana.. laki nne vipi wakati laptop ina thamani zaidi ya laki nane?!..
Fanya 600k nikuletee..
 
Back
Top Bottom