Nanunua gari isiyozidi TZS 5m

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Habari Wakuu,
nahitaji kunnua gari(saloo car) isiyozidi millioni 5 tu.
**Toyota Cami,Daihatsu Terios,Nissan,Corrola,Corona,carina au Suzuki
1)Iwe na engine nzuri,shock ups,battery,indicators,brake system na body viwe vizima
2)Isiwe na matatizo yoyote ya kiufundi
3)registration number kwangu si tatizo
4)Rangi si tatizo
5)Iwe na cc si zaidi ya 1,700cc

Kama una ambayo pia unaweza pia kunieleza naweza kushawishika banjaudi@gmail.com

================AHSANTENI================
 
Mkuu nliku PM namba vp?
 
Nicheki nikupe spacio new model namba C kwa 8M tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom