Search results

  1. kamwendo

    SoC01 Namna ya kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku kwa Viziwi

    Utangulizi Uziwi ni hali ya upotevu wa usikivu. Hali hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile magonjwa,ajali,uziwi wa kuzaliwa nao,kuishi sehemu yenye baridi sana na uchafu wa masikio. Kwa nchi ya ulimwengu wa tatu kama Tanzania Viziwi na walemavu kwa ujumla ni watu waliosahaulika. Ni watu...
  2. kamwendo

    Kwa Watumishi wenzangu

    Habari Ndugu Wana Jukwaa Naomba msaada wa kujuzwa utaratibu wa mtumishi kuomba kwenda kusoma maana nimeambiwa inahitajika admission number ya chuo unachoenda kusoma ilihali udahili bado haujafunguliwa. Je, wenzangu mlifanya nini kupata admission number mapema kabda udahili haujuaanza. wakati...
  3. kamwendo

    Msaada Nahitaji Full Roller Skate Shoes

    Habarini Wakuu, Natumaini Mu Wazima. Naomba Msaada Wa Kuelekezwa Duka Au Mahali Ambapo naweza Kununua Roller Skate Shoes Mpya Zikiwa Full Pamoja Gloves Zake Na Vizuio Vya Ugoko. Mie ni mpenzi mno wa hii michezo nipo mkoani, Je Kwa Dar Naweza Kupata Wapi? Pale Mlimani City Mail Hakuna Duka la...
  4. kamwendo

    Naomba Msaada wa Kumpata Mzabuni Wa Archives Boxes

    Habari Wakuu, Kichwa Cha Habari Hapo Juu Chahusika, Ni Mtumishi Nipo Kanda Ya Ziwa. Tunahitaji Archives Boxes Kwajili Ya Matumizi Ya Ofisi Naomba Kusaidiwa Anwani ya Mzabuni Ambaye Anatambulika na GPSA( Government Procurement Service Agency) Natanguliza Shukran.
  5. kamwendo

    Ni ACCA au CPA?

    Habari Wakuu, Nakalibia kumaliza usajili wa kusomea ACCA ile ya worldwide ambayo makao makuu yake yako London, Ila kwa hapa nchini wana branch yao pale posta. Swali langu kwenu Je, kuna yeyote aliyesomea ACCA kwa distance learning na akafanikiwa kuhitimu kwa wakati? Je, kipi kina faida zaidi...
  6. kamwendo

    Natafuta CPA Class review Sumbawanga

    Wakuu, Naomba kwa yeyote anayejua mahali ninapoweza kupata class review iwe imesajiliwa au hata mtu binafsi mwenye CPA au ACCA maeneo ya Sumbawanga mjini aniwekee contact hapa ili niweze kudiscuss ngazi ya foundation level Natanguliza Shukrani.
  7. kamwendo

    Clara; "Always Switch On Your Lovely Smile "

    Ni mdada mrembo hasa, Aina ya maisha anayoishi na jinsi alivyo na mahusiano mazuri na watu wanamzunguka inanivutia sana. She's called Clara, Pretty, Intelligent, Brilliant and Very Beautiful Girl. Naishi nae mtaa mmoja ni nyumba ya nne tu kutoka nyumba yetu ilipo. Nina mwenzi mmoja tangu...
  8. kamwendo

    "Sisimizi" ana madhara gani kiafya kwa binadamu!!

    Wengi wetu tunafahamu madhara ya kiafya ya baadhi ya wadudu kwa binadamu. Tangu shule tulifundishwa baadhi ya jamii tofauti tofauti za wadudu na madhara yake iwe kiafya na hata kimazingira. Kwa muda mrefu nimeshindwa kujua huyu mdudu "Sisimizi" ana madhara gani kwetu sisi wanadamu. Kipindi...
  9. kamwendo

    Kukojoa mkojo mweupe {usio na rangi} kwa mienzi 2 mfululizo. Je, ni ugonjwa!

    Habari za siku Wakuu, Hope mu wazima na mnaendelea vyema na mihangaiko yenu ya kila siku. Leo nimekuja kwenu nina tatizo ambalo linanitia wasiwasi kama si shaka kabisa. Wote tunaelewa kuwa tunakunywa maji ili kuleta uwiano wa ufanyaji kazi mzuri mwilini. Na moja ya kazi ya maji mwilini ni...
  10. kamwendo

    Unahitaji kijana muaminifu wa kazi?

    Maeneo ambayo naweza nikafanya kazi; Nipo Dar es salaam maeneo kama Tegeta, Boko. Mbezi Beach. Bunju, Kimara, Msasani n.k. Natanguliza shukrani kwa watakaokuwa na uhitaji wanicheki PM
  11. kamwendo

    Yamenikuta

    Habari zenu WanaMMU. Natumaini mu wazima wa Afya njema na mnaendelea vyema na utafutaji wa mkate wa kila siku. Leo nimekuja hapa kwenu nikihitaji ushauri kwa tatizo linalonikabili. Ieleweke mimi si mchangiaji sana na wala sikuwahi kuomba ushauri hapo kabla ila kiukweli nimejifunza mengi...
  12. kamwendo

    Hostel,,,Hostel CBE Sabasaba

    Kwa yeyote mwenye kujua nafasi za hosteli zinazopatikana maeneo ya sabasaba ndani naomba atufahamishe sababu tupo wanafunz wengi tuliokosa hosteli....Angalizo ni vyema tukafahamishwa gharama za malaz, na chakula na hostel iwe karibu na maeneo ya sabasaba
  13. kamwendo

    "Kilaza" Mfano mzuri wa ukuaji wa lugha ya Kiswahili

    Nimevutiwa na na hili neno wakuu,nimelikuta hapa hapa JF na maana yake nimeijulia hapa.. Juzi nimejaribu kumwita rafiki yangu kwa jina hili, akaniambia tena yeye ni kilaza haswa, nikamuuliza unajua maana yake ni nini? Akashindwa kunijibu. Nilipomwambia namaanisha kwamba ni mjinga au mtu asiye...
Back
Top Bottom