kamwendo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 897
- 1,913
Ni mdada mrembo hasa, Aina ya maisha anayoishi na jinsi alivyo na mahusiano mazuri na watu wanamzunguka inanivutia sana.
She's called Clara, Pretty, Intelligent, Brilliant and Very Beautiful Girl. Naishi nae mtaa mmoja ni nyumba ya nne tu kutoka nyumba yetu ilipo. Nina mwenzi mmoja tangu nimfahamu huyu dada maana sikuwa home kwa kipindi kirefu.
Kwa niliyoyasikia ni kwamba aliolewa akaachika na ana mtoto mmoja wa kike mwenye miaka 5. Kwa sasa hapa anapoishi ni kwa wazazi wake. To be Honest, nimevutiwa sana na namna anavyoyatreat maisha yake, her lifestyle, jinsi anayoishi na watu vizuri. Nafikiri kuna niliyojifunza kutoka kwake.
Huyu bint kila umuonapo daima yeye atakuwa na tabasamu usoni, atakusalimia kwa ucheshi na bashasha, Nashindwa kuelewa ni jinsi gani anaweza kuficha hisia zake mbaya au pengine matatizo yanayomkabili.
Ni ukweli kwamba katika maisha kuna siku mbaya na siku nzuri. Kuna siku za furaha na huzuni but imekuwa tofauti sana kwa huyu dada yaani yeye siku zote, muda wote meno nje tabasamu halibanduki usoni..
Wiki Chache zilizopita huyu dad a kwao walipata msiba, Alifiwa na mjomba yake. Katika hali ya kushangaza hakuonekana ni mwenye huzuni sana ijapokuwa alikuwa anaelewana sana na huyu mjomba wake. Kwenye msiba bado alikuwa ni mcheshi na tabasamu lake lile lile akisaidia kupokea wageni na kusaidia kazi ndogondogo.
Mtaani hadi watoto wanampenda, watu wazima wanavutiwa na huyu dada jinsi alivyo mcheshi na mkalimu hasa zaidi ile hali ya kuwa mwepesi kutoa tabasamu kuonesha kuwa yupo happy mda wote.
Wakuu, nilichojifunza ni jinsi gani tabasamu huleta furaha mbele za watu wanaokuzunguka.
A smile promotes good health and improves the complexion. It diffuses stress , improves relationships and controls situations that threatens to go out of hand.
So what prevents you from switching on a thousand smile every morning!! Jitahidi kutabasamu ukiwa nyumbani, ukiwa kazini, ukiwa kijiweni na hata ukiwa kwenye mkusanyiko wa wana jumuiya ibadani.
It works like magic, Idadi kubwa ya watu will return your smile , barring a few preoccupied ones. You will feel your heart singing and the soul lifting as they smile back at you. You will feel the warmth of sunshine and joy spreading through your body with each smile. You will make new friends who will smile back when they see you again. .
Ni vyema ukafahamu kwamba A smile has a way of communicating happy thoughts more than words can. It's magical because it makes you feel good. And you look beautiful with a smile on your face, unlike when you're grouchy or serious.
Ni ukweli kwamba wanawake hutabasamu zaidi kuliko wanaume, sielewi ni kwanini!!
Unapotabasamu unajenga furaha kwa wengine, tabasamu mbele ya watoto wako, mbele ya marafiki zako. Smiles, Of course! ! Still need more reasons to usher in the with a smile?
A simple smile can light up your life and bring joy to everyone around you.