kamwendo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 908
- 1,939
Habarini Wakuu, Natumaini Mu Wazima.
Naomba Msaada Wa Kuelekezwa Duka Au Mahali Ambapo naweza Kununua Roller Skate Shoes Mpya Zikiwa Full Pamoja Gloves Zake Na Vizuio Vya Ugoko.
Mie ni mpenzi mno wa hii michezo nipo mkoani, Je Kwa Dar Naweza Kupata Wapi?
Pale Mlimani City Mail Hakuna Duka la Vifaa Vya Aina Hii?
Vipi kuhusu Bei.
Natanguliza Shukrani Wakuu.