Search results

  1. Zero Conscious_

    Dhana ya "kusaidiana" maisha na mwanamke katika utafutaji ni ya wanaume dhaifu na wajinga sana

    To yeye you've been sorted by this man to be a case study of our today's lecture Soon namimi nitawashusha vinu vya maana na Leejay49 atakuwa sampuli
  2. Zero Conscious_

    Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

    Ngoja kwanza,, kwa hiyo mwanaume ndio alichat na wewe akijifanya mwanamke? Kweli NOBODY CAN STOP REGGAE
  3. Zero Conscious_

    Changamoto kwenye maombi ya ajira Mfumo wa TAMISEMI upande wa Afya na Elimu

    Umemaliza mwaka gan mkuu? Na lini umesikia wanaweza kutoa official announcement
  4. Zero Conscious_

    Watu tuko ngazi ya 3 Ila badala ya kuchanua tunazidi kufwafwanzika

    Kwanza kabisa nianze kwa kumpongeza mama, mitano tena
  5. Zero Conscious_

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Leo ndio najua kama Smart911 ni mwanaume. Siku zote najua ni binti anaebashiwa na mahondaw
  6. Zero Conscious_

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Oa tu mkuu ili sie tuendelee kunufaika na nyuzi zako za kupigwa ma-EVENT
  7. Zero Conscious_

    Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

    Jamaa kajibamiza mpaka pikipiki ikajiweka stand. Kweli HOWO sio mtu mzuri
  8. Zero Conscious_

    Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka. Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia...
  9. Zero Conscious_

    Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

    Hii ni kweli mkuu. Kuna siku nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza, chuma ilikuwa inapigwa mikwaju ya kufa raia, hapo tumeshika roho na kusali tu. Cha ajabu imepigwa mkono inspector anaingia anauliza vipi mwendokasi? Maraia zinaitika "iko sawa afande".
  10. Zero Conscious_

    Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

    Mimi bado ntazitupia lawama mamlaka husika kwa kushindwa kutofautisha ratiba za hawa wapuuzi ingali wanajua kinachoendelea. Kanda ya ziwa waliweka utofauti wa ratiba kati ya Chungwa na Jini Kisirani
  11. Zero Conscious_

    Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

    Acha kudanganya, Sauli kaparamia Lorry la mafuta na New Force akagonga kwa nyuma kwakuwa hakuweka Distance
Back
Top Bottom