Zero Conscious_
Member
- Mar 12, 2024
- 45
- 140
LeoWewe ni mjinga sana
Toka sauli ameanza lini aliwahi kupata ajali?
LeoWewe ni mjinga sana
Toka sauli ameanza lini aliwahi kupata ajali?
NakaziaWewe ndiyo huna kichwa kabisa. Topic inahusu NewForce na Sauli na Golden Deer kugongana. Na picha zipo halafu unauliza kama zimewahi kugongana. Nyie ndiyo wehu wenyewe wa kutoka Mbeya mnaoshabikia Mwendokasi
Wangapi mkuuHalafu waliokufa ni ma agent waliokuwa wanasindikiza bus
Abiria wangekuwa na akili wasingekuwa wanayashabikiaSauli New Force Kampuni za kipuuzi sana... unless otherwise wamiliki wana sacrifice
Hii ni kweli mkuu. Kuna siku nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza, chuma ilikuwa inapigwa mikwaju ya kufa raia, hapo tumeshika roho na kusali tu. Cha ajabu imepigwa mkono inspector anaingia anauliza vipi mwendokasi?Kwa nini abiria huwa kimya badala ya kumwajibisha dreva na wakiulizwa na trafiki wanasema mambo shwari?
Wewe ndiyo huna kichwa kabisa. Topic inahusu NewForce na Sauli na Golden Deer kugongana. Na picha zipo halafu unauliza kama zimewahi kugongana. Nyie ndiyo wehu wenyewe wa kutoka Mbeya mnaoshabikia Mwendokasi
KataramaJini kisirani? Yaani gari inaitwa jini kisirani au? Na abiria wanapanda
Kuna shida yoyote? Hakuna AfandeHii ni kweli mkuu. Kuna siku nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza, chuma ilikuwa inapigwa mikwaju ya kufa raia, hapo tumeshika roho na kusali tu. Cha ajabu imepigwa mkono inspector anaingia anauliza vipi mwendokasi?
Maraia zinaitika "iko sawa afande".
Wafiwa unawapaje RIP?HAYA MAGARI YANAKUWAGA NA LIGI ZA KIJINGA SANA
RIP KWA WAFIWA
Masuka wa Sauli, New Force, Super Feo, Msigwa mavi yao wote wanafukuzana kipumbafu sana. Saa 12:45 asubuhi huwa wanapita kwenye mataa ya Morogoro wanafuata matakoni kama siafu.Wewe mbona hutumii akili?
Mimi nakuuliza kuhusu sauli
Na kweli wanafika haraka huko waendako japo hawarudi tena.Wanataka kufika haraka
Mara mia niarishe safari ila sio kupanda hizo kampuni,kuna maeneo wakikutana wanakimbia vibaya mno yan mpaka abiria unashindwa kukohoa kwa kuhofia usije mtingisha dereva,hao majamaa wasikie tu ila sio salama kabisa.Ila sauli kama vipi aongeze nguvu machimboni maana barabarani hapamwendei vyema,japo kijana mwenzake Achimwene ameongeza bus za makongorosi dar juzi hapa.View attachment 2946832
Biblia imetukataza kubishana na wapumbavu. Mithali 26:4 Usibishane na mpumbavu usijekuwa sawa na yeye..Wewe mbona hutumii akili?
Mimi nakuuliza kuhusu sauli
Ni sababu pia, mamlaka ziwaangalie upya watagharimu maisha ya wengi wasipowachukulia hatua.Mimi bado ntazitupia lawama mamlaka husika kwa kushindwa kutofautisha ratiba za hawa wapuuzi ingali wanajua kinachoendelea. Kanda ya ziwa waliweka utofauti wa ratiba kati ya Chungwa na Jini Kisirani
InasikitishaWawili
Haujasoma vizuri au?Kuna vifo? Kama hamna vifo Hilo ndo jambo la msingi.
New force alishafungiwa mbona naona kaanza tena fujo.Hizi kampuni ni za kulimwa faini kubwa sana au kufungiwa maana ni muda mrefu wapo na ligi za kipumbavu utadhani wanashiriki rally.
Ndiyo nashangaa, dereva ana overspeed, abiria wamekaa kimya!Na abiria ndani wamekaaa tu kama mazombie siyo
Ova
Serikali haina uwezo wa kuzuia hajari hata kama viashiria vitakuwepo mfano haya mabasi kila siku yanafukuzana polisi wanayaona lakini hawachukui hatuaMabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa
Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao njiani zilipita uhalisia wa safari za kuwahi kufika
=====
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw.Abubakar Kunenge, amezungumza na #ITVDigital ambapo amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya New Force, basi la Kampuni ya Sauli pamoja na Lori la mafuta, katika eneo la Ruvu, mkoani humo.
Kunenge amesema abiria walifanikiwa kutoka kwenye mabasi hayo isipokuwa abiria wawili ambao walikuwa wamebanwa kwenye moja ya mabasi hayo na wakati Jeshi la Zimamoto na Jeshi la Polisi wakiendelea na juhudi za kuwaokoa ndipo moto ukalipuka na kusababisha abiria hao kufariki dunia.
View attachment 2946656View attachment 2946657
USSR
Pia soma Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu