Zero Conscious_
Member
- Mar 12, 2024
- 45
- 140
Acha kudanganya, Sauli kaparamia Lorry la mafuta na New Force akagonga kwa nyuma kwakuwa hakuweka DistanceNew force iliparamia Sauli kwa nyuma ikapelekea Sauli kuparamia Lori la mafuta
Acha kudanganya, Sauli kaparamia Lorry la mafuta na New Force akagonga kwa nyuma kwakuwa hakuweka DistanceNew force iliparamia Sauli kwa nyuma ikapelekea Sauli kuparamia Lori la mafuta
Mimi bado ntazitupia lawama mamlaka husika kwa kushindwa kutofautisha ratiba za hawa wapuuzi ingali wanajua kinachoendelea. Kanda ya ziwa waliweka utofauti wa ratiba kati ya Chungwa na Jini KisiraniHizi kampuni ni za kulimwa faini kubwa sana au kufungiwa maana ni muda mrefu wapo na ligi za kipumbavu utadhani wanashiriki rally.
Wanataka ajali itokee wafe ili ndugu zao wailaumu serikaliNa abiria ndani wamekaaa tu kama mazombie siyo
Ova
Jini kisirani? Yaani gari inaitwa jini kisirani au? Na abiria wanapandaMimi bado ntazitupia lawama mamlaka husika kwa kushindwa kutofautisha ratiba za hawa wapuuzi ingali wanajua kinachoendelea. Kanda ya ziwa waliweka utofauti wa ratiba kati ya Chungwa na Jini Kisirani
Wanataka kufika harakaNa abiria ndani wamekaaa tu kama mazombie siyo
Ova
Hata abiria wa Mbeya wana ushamba sana na ndiyo wanasababisha madreva washindane barabarani. Hili nilikwisha lisema sanaSauli New Force Kampuni za kipuuzi sana... unless otherwise wamiliki wana sacrifice
Hata abiria wa Mbeya wana ushamba sana na ndiyo wanasababisha madreva washindane barabarani. Hili nilikwisha lisema sana
Soma na kuelewa siyo unasoma tu kama pimbi. Issue ni kukimbia sana kwa kutaka kuwahi kufika wanakokwenda. Unamtenga vipi Sauli kwa hili?Wewe ni mjinga sana
Toka sauli ameanza lini aliwahi kupata ajali?
Wewe uwe hodari soma hii hapa juu, huyo ni mtu mwingineSema 80 % ya abiria wanaopanda hzo kampun tarifa zake wanazo ndio yan abiria wenyewe nao wanapenda mwendo wa ngiri mkia juu mana bus inachukua labda abiria 53 au 57 sasa kupata vichaa 50 wanopenda mambio mbona simpo.. ndio mana unaona ukingia humo husikii malalamiko abiria wao karibia wote wanazi....!
Hayo yote ni mabasi ya ndagu yatakula watu sana kabla ya kuisha.Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa
Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao njiani zilipita uhalisia wa safari za kuwahi kufika
=====
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw.Abubakar Kunenge, amezungumza na #ITVDigital ambapo amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya New Force, basi la Kampuni ya Sauli pamoja na Lori la mafuta, katika eneo la Ruvu, mkoani humo.
Kunenge amesema abiria walifanikiwa kutoka kwenye mabasi hayo isipokuwa abiria wawili ambao walikuwa wamebanwa kwenye moja ya mabasi hayo na wakati Jeshi la Zimamoto na Jeshi la Polisi wakiendelea na juhudi za kuwaokoa ndipo moto ukalipuka na kusababisha abiria hao kufariki dunia.
View attachment 2946656View attachment 2946657
USSR
Pia soma Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu
Soma na kuelewa siyo unasoma tu kama pimbi. Issue ni kukimbia sana kwa kutaka kuwahi kufika wanakokwenda. Unamtenga vipi Sauli kwa hili?
Na ajali ndiyo hiyo kapata leo Mlandizi/Ruvu
Kwa nini abiria huwa kimya badala ya kumwajibisha dreva na wakiulizwa na trafiki wanasema mambo shwari?Mara mia niarishe safari ila sio kupanda hizo kampuni,kuna maeneo wakikutana wanakimbia vibaya mno yan mpaka abiria unashindwa kukohoa kwa kuhofia usije mtingisha dereva,hao majamaa wasikie tu ila sio salama kabisa.Ila sauli kama vipi aongeze nguvu machimboni maana barabarani hapamwendei vyema,japo kijana mwenzake Achimwene ameongeza bus za makongorosi dar juzi hapa.View attachment 2946832
Wanafurahia ukiongea mmoja unasutwa na dereva wao kimyaaa 🤣🤣🤣Na abiria ndani wamekaaa tu kama mazombie siyo
Ova
Na kuna wapuuzi walianzisha thread za ligi za mabasi humu.Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa
Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao njiani zilipita uhalisia wa safari za kuwahi kufika
=====
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw.Abubakar Kunenge, amezungumza na #ITVDigital ambapo amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya New Force, basi la Kampuni ya Sauli pamoja na Lori la mafuta, katika eneo la Ruvu, mkoani humo.
Kunenge amesema abiria walifanikiwa kutoka kwenye mabasi hayo isipokuwa abiria wawili ambao walikuwa wamebanwa kwenye moja ya mabasi hayo na wakati Jeshi la Zimamoto na Jeshi la Polisi wakiendelea na juhudi za kuwaokoa ndipo moto ukalipuka na kusababisha abiria hao kufariki dunia.
View attachment 2946656View attachment 2946657
USSR
Pia soma Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu
Ilishapata mara 2 nafkiriNimekuuliza zaidi ya hiyo ajali sauli ilishwahi kupata ajali nyingine
We mgeni tz? Umesahau hadi video ilisambaa ya ajali?Wewe ni mjinga sana
Toka sauli ameanza lini aliwahi kupata ajali?
Wewe ndiyo huna kichwa kabisa. Topic inahusu NewForce na Sauli na Golden Deer kugongana. Na picha zipo halafu unauliza kama zimewahi kugongana. Nyie ndiyo wehu wenyewe wa kutoka Mbeya mnaoshabikia MwendokasiNimekuuliza zaidi ya hiyo ajali sauli ilishwahi kupata ajali nyingine?
Mbona kichwa chako kigumu kuelewa