Search results

  1. mzushi

    Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga yupo wapi?

    Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mhe. Kusiruka. Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.
  2. mzushi

    Uchaguzi ni upotevu tu wa muda na pesa usio na msingi

    Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi. Watu wameshapanga matokeo since day one na wanajua kabisa wanachokwenda kufanya why muhangaike kupoteza pesa za walipa kodi na muda wao kwa njia ya...
  3. mzushi

    Lissu hapa umetupotosha na kumdanganya Umma

    Chadema mshaurini Lissu kufanya utafiti kabla ya kusema maneno mazito mazito, nimesikia kwenye clip anasema siku aliyopigwa risasi ndiyo siku Bwana Mkubwa alitamka mbele ya hadhara kuwa msaliti lazima auawe. Tarehe 7 September 2017 katika hotuba ya Bwana Mkubwa hakuna sehemu aliyosema hicho...
  4. mzushi

    Hukumu ya Kijana Abdul Nondo

    Kesho nitakuwa kwenye Viunga vya Mahakama ya Iringa kusikiliza hukumu ya Kijana machachari Abdul Nondo VS Jamuhuri japo hukumu tayari ninayo ila ngoja tusubiri tuone nini kitakachojiri.Nawasilisha
  5. mzushi

    Kamanda Muroto mzee wa burudani

    Nimekuwa nikufuatilia sana Press za Polisi Dodoma ama kwa hakika huyu Kamanda Gillas Muroto ni burudani tosha kuanzia lafudhi yake mbwembwe za kuwalineup wahalifu lakini kikubwa zaidi ni Slogan yake Ukiingia Dodoma kufanya uhalifu hutoki.Pamoja na tukio la Lisu kumtia Doa ila kamanda huyu ni...
  6. mzushi

    Mahiga akiwa na mshauri Tata wa mambo ya usalama wa Taifa wa Marekani

    Waziri Mahiga akiwa na mshauri wa usalama wa Taifa wa Rais wa Donald Trump
  7. mzushi

    20 Percent awachana Cloud Fm

    Moja ya kipande chake cha ngoma mpya inaonekana 20 Percent akiwachana kiaina Clouds Fm kwa kuwaaambia ukitaka kudhalilishwa Nenda Clouds hata Sketi watakuambia uvae.kwa Mwendo huu sijui kama tutafika
  8. mzushi

    Picha: Msichana aliyeuawa na mwanafunzi wa SUA

    Huyu ndiyo mrembo aliyenyongwa na Mwanafunzi wa SUA.
  9. mzushi

    Serikali futieni leseni FastJet

    Muheshimiwa Waziri anayehusika na uchukuzi tafadhari tunaomba muifutie leseni hii kampuni ya Fastjet maana imejaa utapeli wa kiwango cha hali ya juu sana, kuahirisha safari kwao sasa hata kwa masaa14 ni jambo la kawaida bila kujali athari anazopata mteja.Fidia pekee anayopata mteja ni shilingi...
  10. mzushi

    Al Jazeera: Rais wa Tanzania awahimiza wakimbizi wa Burundi kurudi nyumbani

    Rais Magufuli arushwa kimataifa akiwataka Warundi wajiongeze mdogo mdogo wakapambane na hali zao Bujumbura
  11. mzushi

    Tupia neno moja kwa Mkulu na Swaga alizotupia

    .
  12. mzushi

    Unapowaza na wewe ulilamba mgao wa Esikuroo

  13. mzushi

    Natamani kuwa Mzee

    Kwa jinsi Hali ya maisha ilivyo ngumu kwa kweli natamani ningekuwa Mzee tu maana ujana unachangamoto nyingi Sana na zimenielemea kwelikweli
  14. mzushi

    Millard Ayo Blog imepata kwikwi?

    Wakuu naomba kujuzwa vipi hii Blog pendwa ya Millard Ayo imepatwa Kwikwi gani maana naona zaidi ya masaa 20 imeganda Tu ,mwenye taarifa zaidi tafadhari naomba atujuze maana blog hii ni kama Mdogo wake na JF
  15. mzushi

    Kweli duniani wawili wawili

    Mtagini mwenye Rappa wake
  16. mzushi

    Hapa ndipo tulipofikia Watanzania

    Watanzania wakati mwingine tuache mizaha
  17. mzushi

    TANZIA: Mzee Paul Sozigwa afariki Dunia

    Yule Mzee Mkongwe na Gwiji la siasa l za Tanzania Mzee Sozigwa amefariki Dunia. Sozigwa alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Mtoto wa Mzee Sozigwa, Mchungaji Moses Sozigwa alisema tatizo la kwanza lililokuwa likimsumbua baba yao ni kupoteza kumbukumbu. Baadaye...
  18. mzushi

    Masaa 3 Kumsubiri bwana mkubwa apite

    Tunapigiwa kelele kila siku tufanye kazi na Bwana mkubwa lakini hili la kutuweka barabarani masaa 3 halikubaliki .Please tafuta njia mbadala ya kukufikisha uendako ulichotufanyia Leo wakati unaenda ngerengere si ustaarabu kabisa.ni hayo tu
  19. mzushi

    Nani mwenye ugonjwa huu wa Trump

    Mjadala wazuka kuhusu afya ya kiakili ya Trump - BBC Swahili
Back
Top Bottom