Utatuletea updates mkuu!Kesho nitakuwa kwenye Viunga vya Mahakama ya Iringa kusikiliza hukumu ya Kijana machachari Abdul Nondo VS Jamuhuri japo hukumu tayari ninayo ila ngoja tusubiri tuone nini kitakachojiri.Nawasilisha
Mgonjwa huyo mkuuAfu kunajamaa hum JF anatumia picha ya abdu kama profile yake ukiche mambo anayo comments niyakipuz kwel kwel sijui abdu akiona anajisikiaje
Mgonjwa huyo mkuu
Walitii masharti na kwenye press wakasimamiwahivi mbona Roma na no wao hawakupelekwa mahakamani kama nondo
Walitii masharti na kwenye press wakasimamiwa
hao hawakwenda kwa dem zao ironga walaibaki mjini ndo mana!!hivi mbona Romaaa na MOOO wao hawakupelekwa mahakamani kama nondo
Acha kulinganisha kina Mandela na wapiga deal kijana mdogo walahiHata Mandela alifungwa japo hakustahili. Halikadhalika, Yesu pia alihukumiwa na kusulubiwa japo hakuwa na hatia.Hivyo, wakimfunga Nondo, haitakuwa ajabu, ila akishinda, basi haki itakuwa imeshinda dhuluma na uonevu.
Nondo anaenda nyuma ya Nondo kesho
halafu labda ni kweli kwan kuna mmoja baada ya kutoka haikupita muda akaenda Zimbabwe fedha alitoa wapiWalitii masharti na kwenye press wakasimamiwa