Huyu ndiyo mrembo aliyenyongwa na Mwanafunzi wa SUA.Watu wa JF acheni dharau ooh Bar maid unamnyonga wa nini nadhani hata warembo wenu watasubiri sana Kwa kidawa
Namaanisha wa kawaidaHuoni sababu ya mchina yako au
Mboma sioni kitu hapo
Bibie nimejaribu kuwaweka sawa watu humu ndani wengi walimdhihaki sana iweje mtu anaua bar maid na mtu ni msomi , kwa maelezo ya kina niliyoyasoma she was nice, kind and cute woman binafsi nimempenda.Je, ingekuwa ni Dada yako ndo aliyenyongwa bado ungeandika ulivyoandika ,,kifaa kilichonyongwa"? Jaribu kujifunza kufikiria na wengine pia, fikiria Familia yake inayoyapitia, kupoteza mtoto namna hii siyo rahisi hata kidogo, hivyo onyesha heshima angalau kidogo kwa Wazazi ndugu na jamaa wa Marehemu!
Namaanisha uzuri meta post aliomaanisha.Kitu ni huyo marehemu aliyenyongwa....ama picha unashindwa kuifungua?
Utaonaje wakati mtu keshakufa?Mboma sioni kitu hapo
Iko .wapi chura mbona tumeoneshwa uso tuDaaa kaondoka na chura yake asee.
World is not fair