Serikali futieni leseni FastJet

Serikali futieni leseni FastJet

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,256
Muheshimiwa Waziri anayehusika na uchukuzi tafadhari tunaomba muifutie leseni hii kampuni ya Fastjet maana imejaa utapeli wa kiwango cha hali ya juu sana, kuahirisha safari kwao sasa hata kwa masaa14 ni jambo la kawaida bila kujali athari anazopata mteja.Fidia pekee anayopata mteja ni shilingi elfu 15 tena kwa dharau wanakwambia ya kiburudisho.Tunajua sasa hivi wanatuchelewesha ila kwa wanavyolipua mambo si bure kuna siku watatuangusha kabisa
 
Sasa kwani ni lazima usafiri na fastjet ndugu yangu? Tumia Bombardier za ATCL au Precision Air. Ndiyo maana ya soko huria, ukiona wanakuzingua; unawapiga chini tu na maisha yanaendelea.
 
Hao jamaa kwa kweli wanaboa sana. Karibu kila siku safari zinahairishwa. Lakini pamoja na majanga yote wanayoleta bado watu wanapanda hizo ndege. Labda kwa sababu hapa bongo hamna competition kwenye hiyo sekta.
 
Sasa kwani ni lazima usafiri na fastjet ndugu yangu? Tumia Bombardier za ATCL au Precision Air. Ndiyo maana ya soko huria, ukiona wanakuzingua; unawapiga chini tu na maisha yanaendelea.
Jamaa hana muda wa kutest huduma. Ndo mara yake ya kwanza na gundu lake
 
Mbon
asa we avatar yako yenyewe ni mzushi asa apo sirikali itakua na uhakika na taarifa yako kweli asee...??
Mbona Rais wako anaitwa Pombe na anakusomesha namba unakuwa mpole sembuse mzushi
 
Wewe mzushi naona unaweza tu stori za vijiweni wakati wa kukaanga mandazi,
 
Fast Jet hizi hizi ndege walizoleta (Embrair) zinawaumiza kichwa balaaa...leo wameondoa flight ya songwe, ndege moja imebuma.
 
Precision Air,you are why we fly.Tujifunze ukikata tiketi mapema nauli ipo chini ukikata dakika za mwisho mwisho nauli inakuwa kubwa.
 
Attachments

  • images.png
    images.png
    1.2 KB · Views: 29
Sasa kwani ni lazima usafiri na fastjet ndugu yangu? Tumia Bombardier za ATCL au Precision Air. Ndiyo maana ya soko huria, ukiona wanakuzingua; unawapiga chini tu na maisha yanaendelea.
Maisha ya mbagala yashamuathiri mtoa mada kashazoea kupanda miusafiri ya kugombea hata umwambie kuna coaster/bombardier hakuelewi tuwaache wafu wazikane.
 
Back
Top Bottom