Search results

  1. T

    ORYX Gas mnatujazia mchanganyiko wa Gas na Maji? Je, ni wizi au utapeli?

    Hayo huyasemayo yamefanyika, sifanyi biashara ya gas Wala mkaa na Wala Sina faida yoyote ya kupotosha umma, ukweli lazima usemwe na kama Kuna kasoro wazirekebishe. Kuna jirani yangu nae alipata tatizo kama Hilo, Kwa iyo nae ni mpotoshaji? Usikimbilie tu to conclusion eti ni upotoshaji, wakati...
  2. T

    ORYX Gas mnatujazia mchanganyiko wa Gas na Maji? Je, ni wizi au utapeli?

    Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika mitungi ya gas. Nimenunua mtungi wa ORIX gas wiki iliyopita na kutumia lakini chakushangaza badala...
  3. T

    Hongera wanasheria jamiiforums

    PONGEZI sana Kwenu ninyi Wanasheria ambao mnajitambua kuwa nanyi mmetoka katika MAISHA ya kawaida na wengine kutoka katika MAISHA nafuu na mkabahatika kusoma iwe Kwa shida au Kwa raha na kufanikiwa kuwa Wanasheria. Wengi wenu mnatambua hali ya UELEWA wa Mtanzania kuhusu sheria, na nadhani...
  4. T

    Amedhalilishwa kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu. Afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua?

    Tatizo sio kusamehe bali mke, Watoto na ndugu wa marehemu ni majirani, huwezi elewa wanalichukuliaje hili suala. Si wataamini ndugu Yao amekufa Kwa ushirikina na wanaweza siku moja wakamvamia jamaa na mapanga kama walivyokuwa wanafanyiwa watu walivyokuwa wanahisiwa walozi
  5. T

    Amedhalilishwa kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu. Afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua?

    Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari. Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua? Aende Polisi au mahalamani?
  6. T

    Mwenye video ya goli la Kagera Sugar lililokataliwa wakicheza na Yanga aiweke tupunguze kelele

    Kumbe nikweli wahenga walinena, "Mkuki Kwa Nguruwe Kwa binadamu Uchungu" na pia " Mtenda akitendewa ........."
  7. T

    Nchi imejaa ushabiki wa ajabu, sijui kama ipo siku tutasimama kama Taifa

    Akha mi simo napita tu! ⛹️⛹️
  8. T

    Manispaa ya Morogoro huu ni wizi

    Moja Kwa moja kwenye Mada bila kuchoshana Wala kupotezeana muda, in short Manispaa ya Morogoro mnatuibia Kwa nguvu abiria tunaotumia stand kuu ya mabasi Msamvu. Kitengo Cha ukusanyaji Ushuru stand ya mabasi Msamvu mnatumia mabavu kulazimisha Kila abiria anaetoka NDANI ya stand Ambae kwenye...
  9. T

    Lawama zote ataangushiwa Herry Sasalli

    Mkuki Kwa nguruwe ehee! Zile za Ihefu mlipobebwa mliona ni Halali eti?
  10. T

    Kuna muda nahisi na kuona kuwa imani ndiyo kizuizi kwa waafrika au sijui mnaonaje wenzangu

    Wewe ndio una mapepo! Kawe Kuna nini? Kwani amekwambia ana shida ya nyama ya ng'ombe?? Kwa maana pale Kawe Tanganyika Parkers wewe je hujui kulikuwa na kiwanda Cha nini? Basi kama hujui uliza Kwa wazawa wa DSM, ndio maana mnafanywa kafara!!
  11. T

    Binadamu na Pesa, Wajinga ndiyo waliwao

    Binadamu Kila kukicha ni kutafuta pesa tu! Uhai autafutwi, kwani kuishi ni bahati tu bali kufa ni lazima, iwe unapenda au haupendi utakufa tu! Hakuna mwenye uhalali wa kuishi milele hapa duniani Kila mtu ni marehemu mtarajiwa. Pesa ndio Kila kitu humu duniani ISIPOKUWA UHAI TU! Hata uwe...
  12. T

    Simba has 5 foreign good players. That I think, they are very good

    Kanoute is better than Ngoma
  13. T

    Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

    Kweli ndugu! Unasema Ukweli kabisa, Watoto ni wengi sana humu mitandaoni!
  14. T

    Aishi Manula, mwanzo wa mwisho wa ufalme?

    Kwa goli la kwanza Mimi naona ni kosa la Manula, Kwa sababu kama angekuwa makini asingemsubiri yule mfungaji golini wakati alishamwona mchezaji wa Simba keshaangula na mfungaji ameutanguliza Mpira Kwa mbali mara ya kwanza na pia akautanguliza mara ya pili Kwa mbali tena huku Manula amekaa golini...
  15. T

    Aliyemleta Fredy Michael akamatwe mara moja

    Tukizungumza ukweli yule Fred tumepigwa! Hafai kabisa kucheza Ligi kuu ya Tanzania, labda ktk Tanzania yetu akacheze mchangani au daraja la tatu Wilaya. Lakini Cha ajabu Benchika ndio amekuwa mtu wake na sijui Kuna Siri gani kati ya Fred na Benchika, maana ata siku ile na TRA Fred alipofunga...
  16. T

    Alex Ngereza: Simba ilikuwa kwenye kundi dhaifu sana

    Achana naye makota huyo! Hajui lolote atakupotezea muda tu na kukuzidishia hasira upoteze furaha yako Kwa ajili ya huyo hayawani! Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
  17. T

    Tetesi: Mganga wa Utopolo kiboko eti anapambana na kafara ili wapangiwe Asec

    Usilolijua ni sawa na usiku wa giza Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
  18. T

    Mchambuzi Alex Ngereza unapotoka

    Kauli ya Kuwa eti Simba ilipangwa kundi dhaifu, hivi wewe akili zako Zina Akili kweli? Hujielewi kwamba kwa ajira uliyonayo unasikilizwa na kufuatiliwa na watu ambao baadhi hawajui lolote na wanategemea Kila wanalolisikia kutoka katika vyombo vya habari ambavyo Kuna waajiriwa kama wewe ni habari...
Back
Top Bottom