Kwenye historia ya Simba Manula ndo golikipa aliyerusu magoli mengi tuliyofungwa kwa mechi moja moja.
Al Ahly 5- Simba 0 kipa Manula.
As Vita 5- Simba 0 kipa Manula.
Raja 3- Simba 0 kipa Manula
Yanga 5-Simba 0 kipa Manula
Kaizer Chief 4- Simba 0 kipa Manula
Algeria 7- Taifa Stars 0 kipa Manula.
Manula hafai kabisa
TP Mazembe 4 Kolo 0Kwenye historia ya Simba Manula ndo golikipa aliyerusu magoli mengi tuliyofungwa kwa mechi moja moja.
Al Ahly 5- Simba 0 kipa Manula.
As Vita 5- Simba 0 kipa Manula.
Raja 3- Simba 0 kipa Manula
Yanga 5-Simba 0 kipa Manula
Kaizer Chief 4- Simba 0 kipa Manula
Algeria 7- Taifa Stars 0 kipa Manula.
Manula hafai kabisa
AlikwepoAlikwepoMarekebisho..
Yanga 5 - Simba 1.
5 -0 alifungwa Uto
Basi nadhani ndo kipa anayeongoza kufungwa magoli mengi TzTP Mazembe 4 Kolo 0
In whichever way, ulivyoandika au alivyoandika jamaa, Manula alifungwa ngapi?Marekebisho..
Yanga 5 - Simba 1.
5 -0 Simba alimfunga Uto
Kwa goli la kwanza Mimi naona ni kosa la Manula, Kwa sababu kama angekuwa makini asingemsubiri yule mfungaji golini wakati alishamwona mchezaji wa Simba keshaangula na mfungaji ameutanguliza Mpira Kwa mbali mara ya kwanza na pia akautanguliza mara ya pili Kwa mbali tena huku Manula amekaa golini tu, alitakiwa kuwa makini alipomuona mfungaji amemtoka beki basi naye Manula angemkabili mfungaji haraka kama anavyofanyaga Diara.Binafsi sikuona kosa la Manula
ni siku mbaya kaziniNaona Aishi Manula zama zinamtupa mkono.....ufalme unaanguka mbele ya macho yake...... Hakika kila lenye mwanzo lina mwisho
Kaenda kule alikoenda Pacome kwenye mechi dhidi ya IhefuKwan chama Leo alikua wap
Marehemu alikuwa na mdomo sana.Marekebisho..
Yanga 5 - Simba 1.
5 -0 Simba alimfunga Uto
sio utoto sema ubora wa nyanda la dunia ayub ndio iliamua tutoke na point 3 vinginevyo angedaka huyu mwehu tungekandwa 7 kwa 1Timu ni mbovu Haina kiungo mzuiaji, Ata mechi na JKT Tanzania mlistahili kufungwa tatizo lilikua utoto wa JKT Tanzania.
Goli la kwanza alizembea.Binafsi sikuona kosa la Manula
nakubaliana na wewe kabsa kabsaSiku ya JKT Ayoub alitoa kama goli tatu Kwa sababu ana foot work nzuri,ingekuwa huyu Manula wa Sasa tungechezea kichapo Nadhani ni Bora akukubali kuwa mpira wake umeisha
Ni kweli kila jambo lina mwanzo na mwisho, hakuna chochote kinachoweza kudumu daima. Alipendwa Ibrahim baba wa imani na zama zake zikaisha, Roma ilitawala karibia robo tatu ya ulimwengu baadae ikashuka, alitamba Mike Tyson kwenye ngumi na zama zake zikaisha, bongo alisifika Lunyamila, Sanga akaoa wanawake na kuwapanga zama zake lakini wote wakapita.... So tusishangae Manula akipotea kwenye zama zake piaNaona Aishi Manula zama zinamtupa mkono.....ufalme unaanguka mbele ya macho yake...... Hakika kila lenye mwanzo lina mwisho