msaada wa kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Msaada wa Kisheria Wataalamu.

    Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari. Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua? Aende Polisi au mahalamani?
  2. S

    Legal advise on how to task a mobile app loan service provider for misuse of my personal information and breach of trust

    I took a mobile app loan for 8 days. On the date of repayment, the company staff started to bombard me with demands for payment. I spoke to three different individuals from the company and basically told them that I was still at work and that once out of the office, I would make the repayment...
  3. 5523

    Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

    Watu wa jukwaa hili habari zenu., Nimepitia comments zenu nyinginyingi nashkuru sana..! mjadala huu naomba ufungwe mod.,
  4. Venus Star

    Anayoyafanya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuwapa msaada wa kisheria wananchi vijijini

    Mama Samia Legal Aid Campaign imejidhatiti kuwasaidia Wananchi kwa kuwapatia huduma ya Msaada wa kisheria maeneo walipo katika migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi utawala, matunzo ya watoto, ukatili wa Kijinsia n.k. Kampeni hiyo ambayo kwa sasa inatekelezwa Mkoani Singida Yenye malengo ya...
  5. Venus Star

    Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia - Singida, 10 Januari, 2024

    Kampeni hii ni mahususi kwaajili ya kuwafikia na kutoa msaada wa kisheria kwa Wananchi wote buree, Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya kisheria na kusikiliza migogoro yote ya kisheria ikiwa ni pamoja na mirathi, ardhi, ndoa na usajili pamoja na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na mengineyo kwa...
  6. Venus Star

    Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia

    KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI? Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa...
  7. Venus Star

    NI KWA NAMNA GANI WANANCHI WANANWEZA KUPATA MSAADA WA KISHERIA

    Nchi nyingi huwa na ofisi za huduma za kisheria zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za mawakili binafsi. Huduma hizi zinaweza kujumuisha ushauri wa kisheria, usuluhishi wa migogoro, na hata uwakilishi kisheria kwa mahakamani. Kuna mashirika mengi ya...
  8. JITU BANDIA

    Msaada wa kisheria: Namna gani nita-file Shauri la kuomba tafsiri ya mahakama kuhusu mgawanyo halali wa Mali ya mirathi?

    Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook Habari za usiku huu, Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato! Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita nikiwa na miaka mitatu(3). Kulitokea kashkash za ndugu upande wa baba kutaka kumdhulumu nyumba...
  9. R

    Msaada wa kisheria please

    Sasa ni miaka 62 tangu MORTGAGOR a- mortgage eneo lake la ardhi kwa mtu (mortgagee) kwa kiasi pesa ambaye ana miaka 44 amekufa . Mortgagor amekufa some 27 years back . Watoto wa Mortgagor leo 2023 wanadai eneo hilo. Watoto wote wako above 45 yrs..... Sheria inasemaje. je wanaweza kulikomboa...
  10. Jokia

    Msaada wa Kisheria unahitajika tafadhari

    Habari zenu wakuu, Mnamo tarehe 09/07/2023 nilifanya muamala kutoka simu yangu kwenda kwenye kampuni moja ya michezo ya kubahatisha 'kubet'. Ni kampuni kubwa tu kwa hapa Tz. Hiyo fedha haikuingia kwenye akaunti yangu ambayo ipo kwenye hiyo kampuni. Nilifanya nao mawasiliano wakasema kuna...
  11. Annalito

    Msaada wa kisheria tafadhali

    Ninaomba msaada wenu wakuu. Kwenye makaburi ya kinondoni alipokua amelazwa marehemu mama yangu kuna kaburi la mtu mwingine na limejengelewa haswa. Nini nifanye nipate haki ya sehemu ya mama yangu? Mama yangu alifariki mwaka 2001 na hatujakuta hata msalaba. Na huyo waliyemzika amezikwa 2021.
  12. R

    Msaada wa Kisheria

    Jirani yangu alifungua kesi kuwa nimeingia kwenye shamba na kukata miti analodai ni lake ( ambalo nililinunua toka kwa mwanae aliyerithi kutoka kwa baba yake na huyo aliyenishitaki . Mahakama ikasema kwa vile kuna ubishani juu ya umiliki, Mahakama ikatoa amri kuwa aende mahakama ya ardhi itoe...
  13. ndiuka

    Msaada wa kisheria kwa wanawake

    Wakuu kuna mwanamke anahitaji msaada wa kisheria juu ya masuala ya talaka, je ni taasisi gan ya kisheria inayotoa msaada wa kisheria kwa wanawake ambayo ipo effective. Kimsingi mume kavunja ndoa mahakamani bila mke kua na taarifa kama mume kafungua kesi ya talaka, kesi imesikilizwa upande...
  14. N

    Wadau wasisitiza umuhimu wa kukuza huduma ya msaada wa kisheria nchini

    Kufuatia changamoto ya huduma ya msaada wa kisheria kwenye maeneo mbalimbali nchini baadhi ya wadau wamedai kuwa kuna athari ambazo zinaweza kuwa zinatokea kwenye jamii kutokana na huduma hiyo kukosekana hivyo wamesisisitiza umuhimu wa wadau pamoja na Serikali kuendeleza jitihada za kuwezesha...
Back
Top Bottom