Search results

  1. BOFREE

    Nawezaje kujua kiasi cha kodi ninachodaiwa bila kwenda TRA?

    Habari wakuu, Je, kuna portal yoyote ambayo naweza kuweka TIN namba yangu tu nikajua kiasi cha kodi ya TRA ninachodaiwa? Maana kwenda kupanga foleni kulishapitwa na wakati, siku hizi mambo yanatakiwa online tu naangalia kodi nalipia online tunamalizana.
  2. BOFREE

    nauza fridge lita 109 futi 4

    habari nauza fridge lita 109 bado mpyaa imetumika kidogo haimjui fundi hautajutia inapatikana manzese dar es salaam fridge sio kubwa sana ni futi 4 urefu bei 350000 sold sold sold sold
  3. BOFREE

    Wataalam wa kushona nguo

    Habari wanajukwaa, Wale wataalam wa kushona nguo za aina mbalimbali za kiume na za kike uzi wenu huu muanze kuonyesha kaz zenu mbali mbli na mikoa mliyopo.
  4. BOFREE

    Msaada wa Ajira

    Habari za majukumu, Mimi ni kijana wa kiume miaka 26 nimemaliza Shahada ya Ualimu masomo Geography na Kiswahili ninaomba mwenye nafasi yoyote ya ajira aweze kunisaidia. Mimi ni muaminifu na mchapakazi naweza kufundisha shule yoyote ile kuanzia shule ya msingi mpaka secondari napatikana mkoa wa...
  5. BOFREE

    Kweli vyeti DUCE bado?

    Wakuu najua JamiiForums ni sehemu ya kupata taarifa nina kijana wangu amemaliza degree ya elimu DUCE mwaka jana, sasa kinachonishangaza mpaka mwezi huu wa tatu kila nikimuuliza vyeti anasema bado? Je, ni kweli bado? isije kuwa kijana kafeli ananizuga tu? Maana nilimuomba transcript akanipatia...
  6. BOFREE

    Hizi sigara zinapatikana wapi Dar es Salaam?

    Kwa mkoa wa Dar es Salaam naomba anayefahamu hizi sigara zinapouzwa anifahamishe na bei yake. Zinaitwa Dunhill.
  7. BOFREE

    Ndoto hii ina maana gani?

    Wakuu habari Naomba ufafanuzi huu nimeota nipo kwenye gari daladala nimekaa siti ya mbele na rafiki yangu mara gafla gari ikafunga break rafiki yangu akatolewa nje kwenye kioo kwa nje kulikua na mtu kagongwa na iyo gari kichwa kimevimba.
  8. BOFREE

    Msaada kuhusu hawa Auxiliary police

    Wakuu naomba kufahamishwa mambo kazaa kuhusu hawa polisi wasaidizi kama hawa wa UDSM Je, ajira zao ni za kudumu ? kwa maana kwamba wanaajiriwa na utumishi au taasisi husika? Malipo yao yapoje ?
  9. BOFREE

    Nauza external Hard disk

    Nina external hard disk gb 500 inapatikana Dar es salaam Magomeni , imejaa movies na series bei ni 90000
  10. BOFREE

    Bodi ya Michezo ya kubahatisha kwanini mruhusu bonanza za wachina kutumia Tsh 200?

    Kwenu board ya michezo ya kubahatisha kwanini mnaruhusu mabonanza ya wachina watumie miambili miambili na kufanya ziadimike mtaani? Kwanini wasitumie token tu wanazotengeneza wao. Mfano Tanzania nzima kuna mabonanza mangapi na kila bonanza wawe wanatumia laki tano tu hizo mia mbili zitakuwepo...
  11. BOFREE

    Biashara ya kubandika kucha wanawake

    wakuu waliokua na uzoefu na hii biashara naomba muongozi idadi ya vifaa vinavyoitajika na garama zake ukiondoa garama za jengo naitaji kujua vifaa vya kisasa vya kutengeneza kucha Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  12. BOFREE

    LATRA, tunaomba majibu, kwa nini App ya Tiketi Mtandao hakuna mabasi?

    Nataka kusafiri kutoka Mwanza hadi Dar es Salaam nimeangalia kwenye app yao ya tiketi mtandao kuanzia tarehe 16,17 na kuendelea hakuna mabasi hii inaonekana wamiliki wa mabasi hawaingizi taarifa za mabasi yao kwenye mfumo.
  13. BOFREE

    Msaada wa Mwanasheria wa kuniandikia mkataba

    Nahitaji Mwanasheria aweze kuniandikia mkataba wa kisheria wenye muhuri wa Mwanasheria. Mkataba thamani yake ya mauziano ni Milioni 2 tu gharama ya kuandaliwa mkataba isizidi Tsh. 50,000 Kama kama wewe ni Mwanasheria njoo pm tujadili na Mwanasheria awe Dar es salaam
  14. BOFREE

    Msaada: Toyota Sienta niliiacha silence ikazima ghafla

    wakuu nina gari yangu Toyota Sienta niliiacha silence ili betri ijichaji nikaona imezima gafla kuangalia mafuta yamo mengi tu kuwasha gari haiwaki nikabadili betrii mpyaa gari inabiga stata tu lakin injini aipokei kuwaka shida itakua nini maana hata gerage siwezi ipeleka maana haiwaki.
  15. BOFREE

    Tofauti ya TAESA na PSRS ni nini?

    wakuu niende kwenye mada ivi tanzania employment agency(TAESA) ambayo ipo chini ya ofisi ya waziri mkuu ajira vijana na ulemavu inaweza kufanyisha interview na kuajiri wafanyakazi wa serikali wakudumu au ni kwaajili ya internship na kuwatafutia vijana ajira private sector tu na je tofauti yake...
  16. BOFREE

    Betri gani zuri kwa Toyota Sienta?

    Wakuu nina gari yangu Toyota Sienta cc1490 sasa betry lake naona limeisha maana ukizima gari kabla ya kuzima vitu vingne vyote kwanza haiwaki hata mbingu ishuke mpaka ubust ndio inawaka ila ukizima kila kitu ice, taaa na nk ukazima gari ukija kuwasha inawaka. Hivyo naitaji kununua betry jipyaa...
  17. BOFREE

    Nahitaji nyumba ya kupanga Dar es Salaam

    Nahitaji chumba na sebule ikiwezekana jiko na choo ndani maeneo karibu na morogoro road kuanzia Magomen mpaka kimara nyumba iwe nzuri ikiwezekana kuwe na geti sihitaji dalali madalali wanachelewesha biashara nyumba kodi laki na nusu anakwambia laki mbili na hamsini
  18. BOFREE

    Yupi Wakili wako bora kuanzia miaka ya 2000

    Mimi naanza na Peter Kibatala huyu kwangu ni Wakili bora kwa muda huu kulingana na mambo anayofanya Wengine tiririkeni
  19. BOFREE

    Mwenye mamlaka ya kukamata tax bubu ni latra au halmashauri?

    vibali vya tax hailing(uber) na private tax vinatolewa na LATRA zamani sumatra na kama haujakata ivyo vibali ndio unakua tax bubu yaana hauna vibali sasa iweje kazi ya latra wakamate halmashauri wakati halmashauri hawana mamlaka ya kumpa mtu kibali cha tax halafu eti faini 320,000 inazidi hadi...
  20. BOFREE

    Dereva wa uber au bolt anahitajika

    Anaitajika dereva mzoefu wa kuendesha magali ya mitandaoni yaani Uber na Bolt gari ipo inausajili kila kitu kiko sawa lesen ya latra (raid hailing) , card ya gari ni biashara, bima ni ya biashara gari ina CC 1490 Vigezo na masharti 1. Uwe mkazi wa karibu na maeneo haya manzese, magomeni ...
Back
Top Bottom