Yupi Wakili wako bora kuanzia miaka ya 2000

BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
493
500
Mimi naanza na Peter Kibatala huyu kwangu ni Wakili bora kwa muda huu kulingana na mambo anayofanya

Wengine tiririkeni
 
Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
822
1,000
Vijana hawa wa CHADEMA wanashangaza sana! Wao Wakili akishakuwa upande wa CHADEMA au kusimamia kesi za CHADEMA au viongozi wao basi tayari hao ndo mawakili bora!
Kuna Mawakili bora sana hapa Nchini na wanafanya kazi nzuri sana ila hawana kelele , mihemuko wala ushabiki wa kisiasa!
Vijana wa CHADEMA panueni vichwa vyenu kwani upeo wenu ni finyu sana!
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,032
2,000

Si utaje tu wa kwako ?!.

Cdm unaiingiza hapa bure
 
careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
1,222
2,000
Vijana hawa wa CHADEMA wanashangaza sana! Wao Wakili akishakuwa upande wa CHADEMA au kusimamia kesi za CHADEMA au viongozi wao basi tayari hao ndo mawakili bora!
Kuna Mawakili bora sana hapa Nchini na wanafanya kazi nzuri sana ila hawana kelele , mihemuko wala ushabiki wa kisiasa!
Vijana wa CHADEMA panueni vichwa vyenu kwani upeo wenu ni finyu sana!
Kibatala hasaidii chadema tu nanwala hapigi kelele ila chadema ndiyo wanapigiaga kelele kesi zao..mfano kibatala alimsaidia lulu kipindi anakabiliwa na kesi ya kuua..kibatala amesaidia kesi ya mirath ya famili ya rafiki yangu kibatala amesaidia kesi za wabunge wa cur kipindi kile na mpaka leo hiyo kesi bado ipo mahakaman..kibatala ana kesi nyingi sana na nyingi huwa anashinda...unsikia zaid akiwa kwenye za chadema kwasabu chademanni watu wa kelele
 
Prince Mhando

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
6,768
2,000
abdallah possi..huyu jamaa alifanikiwa kumtoa hatiani ndugu yangu ambae alikuwa ametiwa hatiani kwa kosa la kuua kwa kukusudia...huyo ndugu yangu alimchoma kisu hadi utumbo ukamwagika mwanamke mmoja ambae alikuwa ni mpenzi wake....

ndugu yangu huyo alihukumiwa kunyongwa hadi kifo...kesi yake hadi hukumu ilinguruma tokea nikiwa dalasa la nne hadi namaliza kidato cha nne... mwaka huo nilio maliza kidato cha nne ndipo bwana Possi alipoishika hiyo kesi ambayo ilishatolewa hukumu wakakata rufaa...wakashinda

jamaa alitolewa ila damu ya mtu bwana ni nzito amekuwa kama amechanyikiwa hivi....hadi muda mwininge tuna tamani bora angebaki gerezani tu...!

ABDALLAH SALEH POSSI popote ulipo Mungu akupe maisha marefu kiongozi wangu
 
Tyrex

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,814

Aisee hio hatari,, kumbe aliua kweli sasa alitumia mbinu gani kushawishi mahakama kama hana hatia au kuua bila kukusudia?
 
papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
4,091
2,000
Yule wakili anaye deal na kesi ngumu tuu, sijui anaitwa nani yule???
 
kyemo

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
563
1,000
abdallah possi..huyu jamaa alifanikiwa kumtoa hatiani ndugu yangu ambae alikuwa ametiwa hatiani kwa kosa la kuua kwa kukusudia...huyo ndugu yangu alimchoma kisu hadi utumbo ukamwagika mwanamke mmoja ambae alikuwa ni mpenzi wake....

ndugu yangu huyo alihukumiwa kunyongwa hadi kifo...kesi yake hadi hukumu ilinguruma tokea nikiwa dalasa la nne hadi namaliza kidato cha nne... mwaka huo nilio maliza kidato cha nne ndipo bwana Possi alipoishika hiyo kesi ambayo ilishatolewa hukumu wakakata rufaa...wakashinda

jamaa alitolewa ila damu ya mtu bwana ni nzito amekuwa kama amechanyikiwa hivi....hadi muda mwininge tuna tamani bora angebaki gerezani tu...!

ABDALLAH SALEH POSSI popote ulipo Mungu akupe maisha marefu kiongozi wangu
Kama aliua kweli alistahili kukaa gerezan labda km anajutia nafsi yake na kumuomba msamaha muumba pamoja na marehem
 
Prince Mhando

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
6,768
2,000
Aisee hio hatari,, kumbe aliua kweli sasa alitumia mbinu gani kushawishi mahakama kama hana hatia au kuua bila kukusudia?
kinacho mtia mtu hatiani ni udhaifu wake wakati wa kujitetea....inaaminika kuwa unaweza ukatenda kosa lakini pia anae kushitaki akiwa dhaifu kuishawishi mahakama mshitaki anaweza akakosa haki yake....na wewe mshitakiwa ukaonekana huna hatia kabisa

mashahidi walikuwepo...

ila ushahidi wa kinadhalia ulimtoa hatiani huyo ndugu yangu mfano....hapakuwepo Ripoti ya daktari kuelezea kuwa muuaji alikuwa na akili timamu ama lah wakati anatenda tukio....

vile vile ndugu yangu huyo alikuwa mlevi sana hivyo hivyo kipindi anafanya mauaji hayo alitumia kilevi kingi sasa ripoti hiyo ya daktari kama ingekuwepo ingesibitisha wingi wa kilevi alichotumia...

visibitisho kama nguo, kisu kilicho tumika, vilipoteza uhalisia kwani kesi ilikuwa inaendeshwa kwa kupigwa kalenda na upande wa washitaki ni kama walijisahau kwani visibitisho hivyo havikufanyiwa vipimo vyovyote kama vya alama za vidole nk.

kupitia kesi hiyo nimejifunza mengi sana...kwakweli kuna haja sana ya kusoma sheria...
 
Nipo huru

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
852
1,000
abdallah possi..huyu jamaa alifanikiwa kumtoa hatiani ndugu yangu ambae alikuwa ametiwa hatiani kwa kosa la kuua kwa kukusudia...huyo ndugu yangu alimchoma kisu hadi utumbo ukamwagika mwanamke mmoja ambae alikuwa ni mpenzi wake....

ndugu yangu huyo alihukumiwa kunyongwa hadi kifo...kesi yake hadi hukumu ilinguruma tokea nikiwa dalasa la nne hadi namaliza kidato cha nne... mwaka huo nilio maliza kidato cha nne ndipo bwana Possi alipoishika hiyo kesi ambayo ilishatolewa hukumu wakakata rufaa...wakashinda

jamaa alitolewa ila damu ya mtu bwana ni nzito amekuwa kama amechanyikiwa hivi....hadi muda mwininge tuna tamani bora angebaki gerezani tu...!

ABDALLAH SALEH POSSI popote ulipo Mungu akupe maisha marefu kiongozi wangu
Ngoja awauwe miongoni mwenu halafu uje utueleze abdallah possi alivyofanikiwa kumtoa tena.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom