Mwenye mamlaka ya kukamata tax bubu ni latra au halmashauri?

BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
493
500
vibali vya tax hailing(uber) na private tax vinatolewa na LATRA zamani sumatra na kama haujakata ivyo vibali ndio unakua tax bubu yaana hauna vibali sasa iweje kazi ya latra wakamate halmashauri wakati halmashauri hawana mamlaka ya kumpa mtu kibali cha tax halafu eti faini 320,000 inazidi hadi faini ya trafiki

chamzo ilikua ivi nikozangu misele mjini kati mara katokea tarura anataka kunikatia risiti ya paking nikamwambia mi sikai naondoka muda huu kamaindi kumbe kaenda kuleta watu wa halmashauri eti nafanya tax bubu nikawauliza tax bubu wenye mamlaka ya kukamata si latra na kama ni kosa lingine ni tarafic police nikalazimishwa nilipe 320,000 daa inchi hii


VideoCollagePG_1621603757196.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom