BOFREE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 985
- 1,287
wakuu niende kwenye mada ivi tanzania employment agency(TAESA) ambayo ipo chini ya ofisi ya waziri mkuu ajira vijana na ulemavu inaweza kufanyisha interview na kuajiri wafanyakazi wa serikali wakudumu au ni kwaajili ya internship na kuwatafutia vijana ajira private sector tu na je tofauti yake na pablic service recruitment secretariat (psrs) iliyo chini ya wizara ya utumishi ni nn?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app