Nahitaji nyumba ya kupanga Dar es Salaam

BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
984
1,287
Nahitaji chumba na sebule ikiwezekana jiko na choo ndani maeneo karibu na morogoro road kuanzia Magomen mpaka kimara nyumba iwe nzuri ikiwezekana kuwe na geti sihitaji dalali madalali wanachelewesha biashara nyumba kodi laki na nusu anakwambia laki mbili na hamsini
 
naitaji chumba na sebule ikiwezekana kiko na choo ndani maeneo karibu na morogoro road kuanzia magomen mpaka kimara nyumba iwe nzuri ikiwezekana kuwe na geti siitaji dalali madalali wanachelewesha biashara nyumba kodi laki anakwambia laki na hamsini

Mtaalamu kwa mji mkubwa kama Dar Dalali ndio centre ya mchezo, na pia bei za nyumba yenye sifa ulizotaja iko well known kuanzia 200 na kuendelea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom