Ninaomba anaefahamu designers na washoni wanaopatikana Dar es Salaam anitajie na mahali walipo. Nitajie wanaoshona za me na ke. Si lazima awe huyohuyo,wanaweza kuwa tofauti,huyu mtaalamu wa me na yule ke. Akiwa ni mmoja huyohuyo pia ni heri.
Ninataka kushona suti nitokelezee hakuna tena.