Search results

  1. Msenyele

    Spare ya ZEC 40-23MT27-MAB2LG inapatikana wapi?

    Nilipeleka kwa fundi kwa ajili ya kubadilishwa IC ya sound bahati mbaya ikawa imepigwa short. Mwenye nayo au anayeweza kujua zinapopatika anijuze maana Mwanza nilizunguka mji mzima sikupata. Jukwaa hili naliamini na natumaini nitapata, naomba kuwasilisha.
  2. Msenyele

    Tecno Y6 ni feki au ina tatizo jingine?

    Habari za leo wanajamvi? Bila shaka mko njema kabisa baada ya kumaliza shughuli za hapa na pale, hasa ukizingatia asubuhi ndo inatoa picha kamili ya siku. Turudi kwenye mada, simu tecno y6 takribani miaka mitatu sasa. Wakati simu zinazimwa sehemu ambapo line ya voda ilipoteza network na...
  3. Msenyele

    Bajaj Boxer BM 150 new model

    Ni pikipiki ambayo naipenda mwonekano wake na pia utumiaji wa mafuta mdogo na hvyo kuwa chaguo la wengi wenye hali ya chini. Kuna mdau mmoja kanitonya lita moja inaweza maliza km 55!
  4. Msenyele

    Magufuli abebeshwa zigo la Zanzibar

    Dar es Salaam.Hakuna shaka kwamba mwarobaini wa mgogoro wa Zanzibar kwa kutumia jitihada zandani, sasa ni Rais John Magufuli baada ya jitihada za viongozi wa kisiasa visiwani kukwama, wadau waliozungumza na Mwananchi wameshauri.Mgogoro huo, ambao umekuwa kawaida kuibuka kila baada ya Uchaguzi...
  5. Msenyele

    Please enter the privacy protection password/pin

    Habari zenu wakuu. Jana usiku nilimuachia mtoto simu baada ya kurudi nikakuta simu imejilock na inaandika PLEASE ENTER THE PRIVACY PROTECTION PASSWORD/PIN. Nimejaribu kuweka PIN ninayotumia siku zote imegoma, Mwenye ufumbuzi au ushauri msaada tafadhali. Maana nimejaribu ile ya hold up volume...
  6. Msenyele

    Ukimya wa serikali ktk nyongeza ya mshahara

    Serikali ya Tanzania mpaka sasa ipo kimya kabisa kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa umma huku tayari kukiwa na mfumuko wa bei sokoni.Haieleweki ni kwanini serikali inalifanya kuwa jambo la siri huku linahusu maslahi ya wafanyakazi.
  7. Msenyele

    rudisha data zilizopotea baada ya kuformat computer yako!!!!!

    habari za j2 wanajf! Kipindi cha nyuma nilikuwa nasoma nyuzi za watu mbalimbali zinazohusu kurudisha data zilizopotea aidha kwa kudelete kwa bahati mbaya, kupotea zenyewe ama zimepotea wakati wa kuformat computer yako. Nami pia limenipata tatizo hili nilipokuwa nabadilisha os jana nikiwa na...
  8. Msenyele

    Mkopo wa Tsh.1,000,000/= wenye riba isiyozidi 20% kwa mwaka.

    HABARI ZA MAJUKUMU WANAJF! Naomba kupatiwa mkopo wa kiasi tajwa hapo juu kwa ajili ya kuendeleza mradi wangu. Ningependa kuurejesha katika kila mwisho wa mwezi kwa muda wa mwaka mmoja. Tafadhali kwa anayeweza ani 'private sms' ili tuweze kupeana details zaidi. Pia kwa anayejua panapoweza...
  9. Msenyele

    Kesi ya udhamini huendeshwaje?

    Nilimdhani kijana kufanya kaz kbanda cha m-pesa.Nna kesi mahakamani mana alipata shoti akaondoka,imekaaje hii wana jf?
  10. Msenyele

    l

    ​My laptop is toshiba satellite A205-S5803 SYSTEM UNIT. It is installed windows 7 ultimate. By the time being has problem of not responding as soon as when it is plugged with its adapter. But when you charge it while it is off, you can use it out of its power connection from the adapter...
  11. Msenyele

    Jinsi ya kuachana na mwanamke bila ugomvi

    Ni miaka mitatu tangu nianze na mahusiano ya mapenzi na mdada mmoja. Naye, tulikuwa na mahusiano ambayo lengo halikuwa kuoana. Lakini kinachonishangaza ananing'ang'ania kiasi kwamba nashindwa hata kupumua. Hata hivyo katika mahusiano yetu tumebahatika kupata mtoto wa kiume nje ya ndoa. Kimsingi...
  12. Msenyele

    Tuma sms inayoji delete yenyewe kwa uliyemtumia.

    Kwa wale mnaopenda watoto wa geti kali, wake za watu ama waume za watu, ama kutoa ujumbe wowote ambao hutaki kuwa shahidi katika sms ulotuma. Just go to messaging(click) and go to flash sms, write your sms there as usual and send to the destination. Meseji itaenda na itajifuta baada ya muda...
  13. Msenyele

    Msaada wa fedha kwa anayetaka kwenda kusoma chuo kikuu.

    Tanzania ni miongoni mwa nchi tajiri barani Afrika. Lakini kutokana na mfumo na sera mbaya ya uongozi, siasa na matumizi mabaya ya rasilimali ndicho kinachopelekea watu walio masikini kuendelea kuwa masikini na matajiri kuendelea kuwa matajiri. Ili kujikwamua kuondokana na hii hali, nimepanga...
  14. Msenyele

    System yapigwa radi

    Nina Daewoo International DHT-002 DVD HOME THEATER SYSTEM, hivi karibuni imeungua kwa sababu ya mvua iliyoambatana na radi. Japokuwa ilikuwa off lakin ilikuwa connected kwenye main na huenda ndio maana iliungua. Nilipeleka kwa fundi akabaini transistor moja AMS 1085CT 0249 iliyoko kwenye power...
  15. Msenyele

    vipi naweza kuachana na mpenzi bila lawama?

    Nina mpenzi wangu mmoja ambaye nimekaa naye takribani miaka miwili. Mpenzi huyu pamoja na kukaa naye muda ule, ukweli ni kwamba simpendi na yeye ni king'ang'anizi kiasi kwamba nashindwa kupumua. Nitumie njia zipi ili tuachane bila lawama? Nisaidieni jamani.
Back
Top Bottom