Msenyele
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 338
- 86
Nina Daewoo International DHT-002 DVD HOME THEATER SYSTEM, hivi karibuni imeungua kwa sababu ya mvua iliyoambatana na radi. Japokuwa ilikuwa off lakin ilikuwa connected kwenye main na huenda ndio maana iliungua. Nilipeleka kwa fundi akabaini transistor moja AMS 1085CT 0249 iliyoko kwenye power supply na IC moja ilipasuka yakabaki baadhi ya maandishi ambayo ni CD405...Tatizo ni kutopatikana kwa Transistor AMS 1085CT 0249 hapa Mz pamoja na IC kutojulikana baadhi ya no.za IC. Msaada plz maana fundi kasema mpaka vipatikane hvyo ui2.