Msenyele
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 338
- 86
Habari zenu wakuu. Jana usiku nilimuachia mtoto simu baada ya kurudi nikakuta simu imejilock na inaandika PLEASE ENTER THE PRIVACY PROTECTION PASSWORD/PIN.
Nimejaribu kuweka PIN ninayotumia siku zote imegoma, Mwenye ufumbuzi au ushauri msaada tafadhali. Maana nimejaribu ile ya hold up volume kisha power on kwa kureboot inaniandikia no command. Natanguliza shukrani za dhati.
Simu ni TECNO Y6.