Tuma sms inayoji delete yenyewe kwa uliyemtumia.

Msenyele

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
338
86
Kwa wale mnaopenda watoto wa geti kali, wake za watu ama waume za watu, ama kutoa ujumbe wowote ambao hutaki kuwa shahidi katika sms ulotuma. Just go to messaging(click) and go to flash sms, write your sms there as usual and send to the destination. Meseji itaenda na itajifuta baada ya muda mfupi.
Enjoy with it wana jf!
NB: Nokia nyingi zina hii option hivyo msiniulize maswali mnaotumia mchina.
 
Du wajameni yaani mmekosa kuwa na uaminifu kiasi hicho? Just be sincere? Hivi mnakumbuka marehemu Kanumba katika kipindi cha mkasi aliulizwa kama anakunywa pombe na alikana? Hazikupita siku amepata yaliyompata na spirit pembeni. Binti Lulu naye mkasi aliulizwa kama ana boyfriend akakana, but kumbe ni wake Marehemu Kanumba and were dating for about 7 months na plan za kuoana! Kuwa mkweli na ukweli utakuweka huru, tena huru kweli kweli.
 
kuna application download mfano txt thread sms. Lakin cm nyngne hata utume flash sms itakuja kama sms ya kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom