Bajaj Boxer BM 150 new model

Msenyele

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
338
86
Ni pikipiki ambayo naipenda mwonekano wake na pia utumiaji wa mafuta mdogo na hvyo kuwa chaguo la wengi wenye hali ya chini.
Kuna mdau mmoja kanitonya lita moja inaweza maliza km 55!
 
aliweka hiyo lita moja akahesabu 55km ?? au zile consumption za ku google
 
SanLG 1lt/40-45km
Kwa boxer ni 55 to 60 integemea na uendeshaji pia eneo husika.
 
4f53e0edfa3033ba9b6eb1de03bd8d6c.jpg
 
Back
Top Bottom