Chama cha Mapinduzi kwa sasa wamekaa kama ufalme uliofitinika.
Ikimbukwe mpaka sasa kuna Makundi Matatu hasimu ambao hawaelewani wala hawapikiki chungi kimoja na wote kwa pamoja wako kwenye kauli inayoitwa bora tukose wote.
1- Kundi la kwanza ni lile la Mb wa Monduli ndg Lowasa. Hili...
Hatujakataa Mahakama ya Kadhi ila waunde wao wenyewe kwa gharama zaoo. Kwanza huyo mwakilishi wa washirikina atatuambia mini kuhusu dini wakati yeye ni mpagani?.
Akizungumza kupitia taarifa ya habari Itv Mwanasheria Mkuu ametangaza Rasmi kuwa Mahakama ya Kadhi itahudumiwa na Waislamu Wenyewe.
Amesema kuwa Serikali haina Dini na Kamwe haitajihusisha na maswala ya imani za Kidini.
Mwanasheria pia amesema kuwa Mahakama hiyo ilishakuwepo na ilikuwa...
Nimejaribu sana kufikiri kuhusu uelewa wa Viongozi wa Kiislamu wanaopigania upatikanaji wa Mahakama ya Kadhi kuingizwa kwenye Sheria za Nchi.
Kwanza itambulike kuwa Serikali ya Tanzania haina Dini ila watu wake wana Dini, Na kila Mtu aabudu anachokiamini isipokuwa asivunje Sheria za Nchi...
Kukata mshahara wa mwislamu ni sawa na kumkata Simba Mkia. Hawa Jamaa ni wabaili sana na ndio maana mpaka wajengewe Msikiti na Waarabu. Wenyewe hawawezi kujenga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.